CCM ndiyo wanataka watu kama wewe ili washinde kirahisiKupiga Kura ndani ya nchi hii ni upumbavu na uwendawazimu.
Kulingana na hali ya nchi yetu naona kuwa tufanye uchaguzi kulingana na pendekezo namba b hapo juu.Mje hapa tupate maoni yenu Lucas Mwashambwa Erythrocyte chiembe Mama Amon MamaSamia2025 ChoiceVariable Malaria 2 johnthebaptist Kaka yake shetani