Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

gari limemkosea nini.?

wenzie wanakata dudu kwa msumeno... ama wanakamata hawara wanachanja viwembe vya kutosha

huyu hakupata washauri wazoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya ukewenza mabaya sana ndio yanayoleta uchawi ndani ya nyumba,kurogana,chuki. Na ikitokea mme kafa hajaweka mambo sawa kuna mmoja lazima aumie either mke mkubwa au mdogo. Hutakaa uridhikie na wanawake hata siku moja utaoa wa pili na ukitoka nje still macho juujuu. Mfalme Solomon kuwa na wanawake wengi ndiko kuliko sababisha anguko lake.Hata kama umewaoa wanachekeana ila ujue kila mmoja ana lake moyoni. .wanawake waone hivihivi!
Unazani utaeleweka basi walio wengi ni mafisadi wa mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAIDA YA KUWA NA MKE MWENZA.
1.Mke mkubwa anapata Break.
2.Inaongeza ushindani wa Ngono na kujilemba kwa Bwana wenu.
3.Kunaongeza Nguvu za Kiume kwa Mume wenu, na hili ndo haswa huamsha Hamu ya tendo na kumpa raha zaidi mkeo.
4.katika ushindani,kuna kujiongeza .wnawake hujiongeza katika mapishi,Mapambo,na hata kitandani ,mambo ya mas taili ya tendo.
5.Mwana mume huongeza kipato kwa kubuni njia mpya za uzalishaji ili kukidhi mahitaji ya familia mbili.Kunachangamsha akili.
6.Wana wake kimsingi ni wachoyo na huwa hawapendani,hata kama ulimuolea rafikiyake wa chanda na pete,Uhasama unaanza. Hivyo basi inasaidia kujengeka kiroho na wanawake wanajuwa kuwa ktk Uislamu peponi wanaume wataozeshwa wake zaidi ya 70 pamoja na mahuurl ain. Wakikimbia mitala duniani ,Peponi Ipo.Kwa hiyo wanachukua mazoezi kabisa.
HASARA
1.Inaweza kuletea mchepuko kwa wanawake. Ikiwa ni kulipizia kisasi.
2.Mizozo ya kifamilia wa kufanyiana wivu na uadui.
3.Kufanyiana Ushirikina. Hasa wanawake.
4.Waganga wa kienyeji kuwala wake za watu kwa kuwadanganya kuwa watafarakanisha ndowa hizo kwa ushirikina.
5.Uwezekano wa kuambukizana magonjwa ya zinaa endapo mmoja ya wana ndoa ataukwaa ugonjwa kwenye mchepuko.

NB;
NDOA ZA MITALA ZINAHITAJI UCHA MUNGU NA SUBIRA KWA WANA NDOA
USIVAMIE. TUMIA BUSARA
 
Muhammad aliwahamasisha wafuasi wake kuwa wazinzi kamayeye, akasahau kuwa Mungu aliumba Mwanaume 1 na akampa mke 1. Haya mambo ya mitara yalianza kama uasi na si agizo la Mungu muumbaji.

Sasa nashangaa Allah (shetani) yeye anawadanganya kupitia mtume wake ambaye kwa sasa ni marehemu (Muhammad) kwamba mnaweza kuzini na wanawake mpaka 4.

Bhahahahahaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom