Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Mama aliona gar inampa kibur mume wake...sasa ngoja nikachome haka kagari tuone huyo kimada wako kama atakupokea na baiskel😄

God have mercy on us..
 
Mimi siwezi kuwajibia hao.

Kawaulize wahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajicontradict sasa, katika post yako #116, umesema kwamba: kuwa na wake wengi hapo mwanamke amefanyiwa Ustaarabu na ni bora kuliko Mume wake achepuke kimyakimya.

Nikakuuliza swali, JE walioowa wake zaidi ya mmoja ndio hawachepuki kabisa???

Unaniambia huwezi kuwajibia...Damn!!

Mbona hapo juu umewajibia?

Anayeoa wake wawili au wanne hachepuki kabisa?

Jibu kinagaubaga Sheikh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unaniuliza swali ambalo mimi nimekuuliza.

Siweji kujibu kwa sababu na mimi nataka unijibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siweji -Siwezi

Dhulma ni pale unapomnyima au kumyang'anya binadamu mwenzio haki, stahiki au mali yake.

KWA MFANO, suala la kuamua kumletea Mkeo wanawake wengine watatu ndani bila ridhaa yake na kisha kumpa tu taarifa asiyopaswa kuhoji wala kupinga ni DHULMA.

La sivyo, Hebu fafanua ni kwa vipi hiyo si dhulma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitumie nguvu nyingi boss.

Nenda kwa wahusika.
Unajicontradict sasa, katika post yako #116, umesema kwamba: kuwa na wake wengi hapo mwanamke amefanyiwa Ustaarabu na ni bora kuliko Mume wake achepuke kimyakimya.

Nikakuuliza swali, JE walioowa wake zaidi ya mmoja ndio hawachepuki kabisa???

Unaniambia huwezi kuwajibia...Damn!!

Mbona hapo juu umewajibia?

Anayeoa wake wawili au wanne hachepuki kabisa?

Jibu kinagaubaga Sheikh.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwanamke kadhulumiwa nini na mumewe..?

Haki ipi kadhulumiwa ?

Stahiki ipi kadhulumiwa ?

Mali ipi kadhulumiwa ?
Siweji -Siwezi

Dhulma ni pale unapomnyima au kumyang'anya binadamu mwenzio haki, stahiki au mali yake.

KWA MFANO, suala la kuamua kumletea Mkeo wanawake wengine watatu ndani bila ridhaa yake na kisha kumpa tu taarifa asiyopaswa kuhoji wala kupinga ni DHULMA.

La sivyo, Hebu fafanua ni kwa vipi hiyo si dhulma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...hivi ilitakiwa kumjulisha tu ama ilitakiwa washauriane??
Na katika kosa kama hili, wanaharakati na watetezi wa Haki za akina Mama wanasimama wapi?
Wanaunga mkono mwanamke mwenzao kuchoma moto gari la mzee kwa sababu anataka kuongeza 'Kifaa' kingine ndani ya nyumba ???[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha uadilifu katika dini, hapa kazi kubwa ni mtu kuweza kudhibiti tamaa za kimwili. Kuna walio hata na wanawake 3 au 4 na bado wana vimada vya pembeni. Mtu kama huwezi ridhika na mwanamke mmoja basi huwezi ridhika hata na wanawake 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchepuka ni tabia..
kama ni muhuni hata aoe wake 4 bado atachepuka tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sipingi anaweza kuchepuka hata akiwa na wake wanne, ila jambo hilo kwa anaemukhofu Muumba wake hawezi kufanya, Kupenda wanawake ni tabia ya kimaumbile. Ili kuwafinya wanaume ndio mana wakaekewa mpka hadi wake wanne, na ili waweze kuwa responsible na sio kudanga, mwishowe anaeteseka ni mwanammke kwa kuachiwa majukumu ya malezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiamua wote kuwa na akili kama za wanyama sijui kama kutakalika. Ukiweza kuwa na self control ndio utajua tofauti ya mnyama na binadamu
Matamanio hayana self control labda mtu awe mgonjwa au awe na njia mbadala ya kukidhi matamanio yake, usi understimate the power of the sperm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matamanio hayana self control labda mtu awe mgonjwa au awe na njia mbadala ya kukidhi matamanio yake, usi understimate the power of the sperm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana matamanio cha muhimu ni how we control it. Tukiamua kuwa kama wanyama dunia haitakalika ndio maana Mungu alitupendelea binadamu akatupa uwezo wa kujitambua. Ila bado kuna binadamu wako too low mpk wanajiona wako sawa na wanyama.
 
Mbona wanyama wanakaa duniani kwa amani tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ni Malaya wa kuokotewa mbali. Wakiwa hawajafikisha wake wanne wanadanganya nitakuoa , dini inaruhusu. Wakifika wanne sasa ni umalaya na wakati mwingine wanatafuta sababu za kutoa talaka ili waendelee kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi tu dawa yao, akioa kama haujaondoka unajifanya hamnazo akija kwako hakuna kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama umechoka kama hata anza kutoa povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom