mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,070
- 3,792
aache wivu
Umesema sahihi kabisa na moja ya njia ya kuyadhibiti matamanio basi kuoa zaidi ya mke mmoja kwa ambao wanauwezo na watakua waadilifu kwa hilo. La kama hatutafuta taratibu basi ndio tutaishia kama wanyama.Kila mtu ana matamanio cha muhimu ni how we control it. Tukiamua kuwa kama wanyama dunia haitakalika ndio maana Mungu alitupendelea binadamu akatupa uwezo wa kujitambua. Ila bado kuna binadamu wako too low mpk wanajiona wako sawa na wanyama.
Kwa mujibu wa dini yao nikwamba mke wa kwanza aridhie sasa amegoma jamaa.
Hata uoe 1000 bado utaona wengine wazuri tu. The same kwa mwanamke unakuta mme anampa kila kitu ila bado anatoka na boda boda au muuza butcher. Bila hofu ya Mungu na self control ubinadamu sio rahisiUmesema sahihi kabisa na moja ya njia ya kuyadhibiti matamanio basi kuoa zaidi ya mke mmoja kwa ambao wanauwezo na watakua waadilifu kwa hilo. La kama hatutafuta taratibu basi ndio tutaishia kama wanyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uoe 1000 bado utaona wengine wazuri tu. The same kwa mwanamke unakuta mme anampa kila kitu ila bado anatoka na boda boda au muuza butcher. Bila hofu ya Mungu na self control ubinadamu sio rahisi
Alivyoumbwa mwanamke na mwanaume ni tofauti sana. Mfano,inaweza kumchukua miezi hadi mitatu mwanamke kupata hisia sawa na mwanaume aliyekosa sex kwa siku saba tu. So,dadangu usimlaumu mwaume kwa kupenda hiyo kitu,laumu "jene" ya urithi aloirithi toka kwa mababu!Swali langu ni kwamba akioa wa nne ndio hachepuki? Kinachomfanya asiridhike na mmoja ni nini. Utasingizia akiwa kwenye siku zake?
Tatizo mnapenda ngono sana. Siku tatu tuu mnashindwa kuvumilia huku nyie mkioa wake wengi mnatuacha hata siku tano mnalala pengine na sisi tumekituliza tuu mbona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnachekesha sn,kila Adam na Eva wake! Kwani ukiwa mke wa pili wewe si ndo Eva na Adam wako ni huyo ulonae!!?Kwahiyo huko ulipoenda aliyeandika muoe wake wanne ni Mungu au?.
Huko huko ndio panakufaa, huku kila Adam na Eva wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali ulipotumia ''KAMA'' umesema wale ninaowamiliki.Nimebuni tu ndo mana nikasema kama wewe unao unaowamiliki.
Nimetumia neno "KAMA "
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika waliooa mke zaidi ya mmoja hawachepuki?Umesema sahihi kabisa na moja ya njia ya kuyadhibiti matamanio basi kuoa zaidi ya mke mmoja kwa ambao wanauwezo na watakua waadilifu kwa hilo. La kama hatutafuta taratibu basi ndio tutaishia kama wanyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali ulipotumia ''KAMA'' umesema wale ninaowamiliki.
Unataka ushahidi niweke ulichoandika?
Mara nyingine uwe unaandika vitu vyenye uhakika zaidi ya hisia
Na pia katika mambo ya dini tunapaswa kuweka mapenzi yetu binafsi na Logics pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...na amani mara zote hupatikana kwa ncha ya upanga...ukweli mchungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa,Kama sikuandika basi nilimaanisha.
Unaowamiliki waambie wafanye unavyotaka,sisi tunamilikiwa na dini ya uislamu.
Kama huna unaowamiliki basi subiri ama fanya mipango alafu uwaamrishe unavyotaka wewe mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?
Lakini tunaambiwa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,,what's the way forward kunusuru(kusitiri) hii surplus ya wanawake watakaobaki bila wenza ikiwa kila mwanaume awe na mke mmoja?!Kwahiyo huko ulipoenda aliyeandika muoe wake wanne ni Mungu au?.
Huko huko ndio panakufaa, huku kila Adam na Eva wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, basi kuoa wake wengi sio sababu ya kutochepuka suala ni kumuogopa Muumba