famicho
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,252
- 2,983
Ndio Mana nimebadili dini na kuwa muislamu, mi habari za kujibana bana sizitaki. Maisha yenyewe mafupi niache kuoa wake zaidi ya mmoja nijilie raha za dunia eti kisa sijui mathayo, Elia, yosefu etc kaandika kitabu nioe mke mmoja tu. Hahahaha hapana kwa kweli, nimewaachia dini yao na kitabu Chao, yanini nijibaneeee!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukristo hauna huo upuuzi wa kuendekeza uasherati na zinaa kwa kigezo cha kuongeza wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app