Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Kama "wanawake wengi hawapendi uke wenza" ina maana muhamad hilo hakuliona kwa waumini wake?
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limeanza kufanya uchunguzi zaidi kuhusu tukio la Msimu Jaffari (33), kudaiwa kuchoma moto gari ya mumewe, ambaye wiki iliyopita alitoa taarifa ya kuongeza mke wa pili katika ndoa yake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Suleiman Hassan alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Kesi hiyo imeripotiwa katika Kituo cha Dunga Wilaya ya Kati Unguja.

Kamanda Hassan alisema tukio hilo, limeripotiwa mwishoni mwa wiki huko Kitumba Wilaya ya Kati Unguja. Gari aina ya Spacio inayomilikiwa na Abdallah Hijji (43) ilitiwa moto usiku.

Mke wa kwanza wa mtu huyo, anatuhumiwa kufanya tukio hilo. Alisema taarifa za awali katika uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi, unaonesha kwamba Hijji alitoa taarifa kwa familia na mkewe wake wa kwanza, kwamba anakusudia kuongeza mke wa pili.

‘’Uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi katika hatua za awali unaonesha kwamba tukio hili linahusishwa na wivu wa kimapenzi, ambapo mume alimjulisha mkewe nia ya kuoa mke wa pili na kama unavyojua wanawake wengi hawapendi ukewenza. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi zaidi ili kujiridhisha na ukweli halisi wa tukio hilo,’’ alisema.

Uchunguzi zaidi uliofanywa na gazeti hili, kwa kuwahoji watu mbalimbali huko Kitumba, umeonesha kwamba Hijji aliongeza mke wa pili wiki iliyopita. Hatua hiyo ilimtia hasira mke wa kwanza, ambaye kabla ya ndoa hiyo alikuwa akitoa tahadhari kwa mumewe, kwamba asithubutu kuoa mke mwingine.

‘’Huyu mwanamke hataki ukewenza, kwa muda mrefu amekuwa akimuonya mumewe asijaribu kufanya kitu hicho na akifanya atajuta,’’alisema jirani ya Hijji, Haji Omar ambaye alidai amekuwa akishuhudia mara kwa mara ugomvi wa watu hao.

Jeshi la Polisi limesema uchunguzi utakapomalizika, jalada la kesi hiyo litapelekwa Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) kwa hatua zaidi.

Chanzo: HabariLeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata awe na wangapi kama ni mzinzi ni mzinzi tu, mie kuna familia nilikuwa nawafahamu yule tena mwl alikuwa na wake wa 4, alikuwa anawatoroka wote anaenda kudanga na michepuko huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka nilikuwa namuuliza hao wake zako umewapa nini kuwafanya wajinga hivyo !

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni Malaya wa kuokotewa mbali. Wakiwa hawajafikisha wake wanne wanadanganya nitakuoa , dini inaruhusu. Wakifika wanne sasa ni umalaya na wakati mwingine wanatafuta sababu za kutoa talaka ili waendelee kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahu na kukuridhisha sio nguvu zenyewe za kutegeshea mlimani unaweka gogo halafu anaenda kiongeza mke! Hapo si ndiyo mwanzo wakutafuta vipozeo, ukute mtu anapata stimu baada siku 4 mpaka wiki halafu anajishauwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukristo unawanyanyasa Sana wanaume, by nature wanaume ni watembeza bakora haswa na pia tuna matamanio ya kuwa na wanawake zaidi ya mmoja(kuonja taste tofauti), hivyo kuniletea vifungu vya kunikataza nisiwe na zaidi ya mmoja ni uonevu wa hali ya juu, Nani ataijaza dunia, hii idadi kubwa ya wanawake Nani ataisitiri!? Kama mwanaume umekamilika tuongezeni wake ili tuwasitiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Bado zile Bikira 72 za ahadi.

So kwasasahv Mwamedi anaendelea kuzifaidi huko Akhera?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom