Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Anasumbuliwa na wivu, labda kaona mke mdogo anaweza kumiliki mpira dk. 90..chezea mke mdogo weye..
 
Talaka tatu, kwa mke mkubwa ndilo suruhisho pekee kwa usalama wa ndoa changa ya bi mdogo na maisha yao kwa ujumla.
 
Dini si inaruhusu lkn, awe kama dkt Mwaka ahahahaha. Mapenz haya bhn dah!!!.
 
Angempa talaka mke mkubwa 1 alafu ataondoka, akiondoka tu anaoa mke wa pili, alafu akirudi akileta kelele unampa talaka ya 2 anaondoka tena, alafu talaka ya 3 humpi, mke mkubwa atarudi tu na nidhamu. Mwanaume wa kuoa mke mmoja tu labda maskini sana, ila ukiwa na uwezo mzuri na afya njema wake hadi 4 ndio tamu sana. Wake wengi tamu sana na inazuia magonjwa na kutoka nje ya ndoa. 😋😋😋
 
Haihitajiki ridhaa ya mke,ila ni vizuri akafahamishwa.
Kwa vyovyote vile ni wazi kwamba ukishakuwa mwanamke wa kiislam na ukawa hautaki mke mwenza unajitafutia bure presha na kuachika juu. Maana habari ya mwanaume wa kiislam kuoa wanawake hadi wanne inajulikana.
 
Nilikuwa nasoma kitabu kimoja cha maisha ya Nyerere, kinaelezea utamaduni wa kuoa wake wengi.

Kimeelezea kwamba katika utamaduni wao, mke anatakiwa kufurahia mume kuongeza wake. Kwa sababu mume anaongeza ukubwa wa familia.

Na mke akisemwa ana wivu na hapendi mume kuongeza mke, huyo mwanamke asiyependa wake wengi anaonekana mtu mbaya sana, mtu wa ajabu sana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom