Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Total population ya Unguja ni ngapi
 
Si Zanzibar huko, ambako 99.9% ni Waislam, hakuna sehemu yenye concetration ya Waislam wengi kwa Tanzania zaidi ya Zanzibar ndio maana nikapaita kitovu cha Uislam TZ
Sio mzima wewe, inamaana waislam waliopo zanziba ni wengi kuliko wsliopo dar? Kwa taarifa yako huko zanziba hata watu milioni 2 hawafiki, halafu hao wanaojiuza huko sio wote ni kutoka zanziba wengine wametoka bara
 
Mkuu kwani zanziba wamepiga marufuku wageni kuingia?
 
Mkuu unaelewa maana ya concetration?
 
Inaaminika Visiwani ndiyo sehemu salama zaidi sababu ya madili ya dini...

Leo hii ndiyo wanaongoza kwa usodoma, inasikitisha sana...
 
Ulikuwwa unajenga hoja sasa umehamia kwenye matusi.
Ni kweli mkuu ila wao ndio walianza hayo matusi na ikawa hakuna jinsi kwani kila nikijenga hoja wao wanaleta matusi nikashindwa kuvumilia kama mwanadamu,
Samahani sana kwa wote niliowakwaza,
Ukweli ni kwamba makosa hufanywa na wanadamu na haijalishi ni wa dini gani
Once again sorry kwa wale wote wameathirika kwa namna yeyote
#situkanidininapingamatusi
 
Huo ndio ubinadamu..tumekusamehe..tujitoe kuelimisha ndugu zetu wazanzibari na kwingineko kuachana na huu ufuska mana ni janga kwa jamii zetu zote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huo ndio ubinadamu..tumekusamehe..tujitoe kuelimisha ndugu zetu wazanzibari na kwingineko kuachana na huu ufuska mana ni janga kwa jamii zetu zote.

#MaendeleoHayanaChama
👍
Ila acheni chuki
Munanifanya mpaka nahisi hivi kweli hawa wanaotukana uislam ni wakristo kweli?
Au ni Freemason?
Nafasi kidogo tu ya kosa basi weeee si kashfa hizo tena za reje reja
Any way big up
Tupambane pamoja kumshinda shetani
👍
 
Inaaminika Visiwani ndiyo sehemu salama zaidi sababu ya madili ya dini...

Leo hii ndiyo wanaongoza kwa usodoma, inasikitisha sana...
Wanaongoza wakilinganishwa na nani? Kumbuka hapo unguja imeshindanishwa na pemba ila kama ingeshindanishwa na mikoa ya bara stori ingekuwa tofauti
 
Mkuu kwani zanziba wamepiga marufuku wageni kuingia?
unataka kusingizia kwamba mapunga ya zanzibar ni wageni? ni wazanzibariiii pure, na wanaingiliwa kinyume na maumbile. shetwani kabisa.
 
Jana ulimshambulia Mzee wetu baada ya kuleta historia we kiumbe punde chupi utavaa kichwani badala ya makalioni kule kwenye ule uzi hukuonesha rangi yako halisi ukajidai kwamba Mzee anapendelea analeta history ya majina ya kiislam tu.
nilikuwekea na clip pale inayoonyesha Mohamed Said akiwatangaza wakristo wa Tanzania kuwa ni makafiri. usisahau hilo pia kwa huyo mzee wenu pendwa.
 
Wakati huku bara tunatembea na pilipili mfukoni tukikutana na sherehe/msiba tusipate shida ya kutafuta hamu ya kula
Huko zenji wao wanatembea na mafuta nyuma ya skio
Duh

Ova
 
Duh muongo wa kutupwa nyie si ndio na vyeti munapeana kabisa?
Wakristo mumeupenda mchezo mpaka mumeruhusu wanajme kwa wanaume waoane
vyeti gani tunapeana aisee, upo Tanzania kweli? kwani ndoa za mapunga Tanzania zinaruhusiwa? unaongea kwa mhemko bila hata uelewa mzuri kichwani na huujui ukristo. ukweli ubaki ukweli, zanzibar miaka yote inasifika kwa kuwa na mapunga mengi, wanasifika kuingilia wanawake kinyume, wanasifika kuingilia vitoto ndio maana hata mkija huku bara ukiona mpemba tu watu huwa wanachunga watoto wao wasiwe karibu naye kabisa. huu ni ukweli usiohitaji ubishani.
 
Wakati huku bara tunatembea na pilipili mfukoni tukikutana na sherehe/msiba tusipate shida ya kutafuta hamu ya kula
Huko zenji wao wanatembea na mafuta nyuma ya skio
hahhahahahahaaa
 
Nani anazo Takwimu za Bara kwa maana jinsi maisha yalivyokuwa magumu Makahaba na Mashoga wanapigana vikumbo kugombania Wanaume wa Chipsi yai almaarufu kama "Wanaume wa Dar".
 
Hivi si ndio huko hukoo ikifika ramadhani wanapiga mijeredi wanao kula mchana?, kisa mfungo?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwamba wao kutofunga ni kosa kuubwa kuliko zibuliwa/kuzibua mitaro?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…