Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Hata kule kwenye vitovu vya ukristo mambo haya yapo,

Tena kwa kupitiliza kabisa wanaoana jinsia moja na vyeti vya ndoa wanapewa yaani kwa ufupi wanahalalisha uchafu,

Angalau waislamu hawakuhalalisha ila ni hulka ya binadamu tu kukumbatia uchafu
Ushoga umeanzia Arabuni, Israel ukahaba na ushoga hakuna
 
Ushoga umeanzia Arabuni, Israel ukahaba na ushoga hakuna
Israel hakuna ushoga? Sidhani kama kuna nchi dunia hii hakuna ushoga, hata Afghanistan kwa wataliban ushoga upo ila wakikukamata utajuta, nchi za kiislam hawalei wasenge
 
Kuna uzi humu wameisingizia Arusha na Dar kumbe Kiembembuzi ni kinara
 
Nenda moshi hapo kuna askofu kaolewa na mzungi na cheti anacho
Tatizo sio kufanya
Tatizo ni kuhalalisha
 
Wazenji wanapenda matako kwasababu ya wadada wa kibongo... Sasa mtu anakuja na zigo hilo kwanini mtu mwenye tamaa za kingono asitusue?
 
Wazenji wanapenda matako kwasababu ya wadada wa kibongo... Sasa mtu anakuja na zigo hilo kwanini mtu mwenye tamaa za kingono asitusue?
 
kwa kuwasaidia tu pia,, makahaba wengi unguja wanatokea bara hasa Tanga na Dar..
 
Zawa hapa tuko pamojA
 
Wanaongoza wakilinganishwa na nani? Kumbuka hapo unguja imeshindanishwa na pemba ila kama ingeshindanishwa na mikoa ya bara stori ingekuwa tofauti

tumia akili,hapo pemba kuna watu wangapi ukilinganisha na idadi ya hao maboko??

kule kuna watu wachache ukilinganisha na watuhumiwa wa hiyo michezo.
 
tumia akili,hapo pemba kuna watu wangapi ukilinganisha na idadi ya hao maboko??

kule kuna watu wachache ukilinganisha na watuhumiwa wa hiyo michezo.
Kwahiyo unaamini znz ikilinganishwa na mikoa ya bara bado znz watakuwa vinara?
 
Kwahiyo unaamini znz ikilinganishwa na mikoa ya bara bado znz watakuwa vinara?

portion ndio itaamua,zanzibar inalingana na mkoa gani kwa ukubwa na idadi ya watu???
 
Hata kule kwenye vitovu vya ukristo mambo haya yapo,

Tena kwa kupitiliza kabisa wanaoana jinsia moja na vyeti vya ndoa wanapewa yaani kwa ufupi wanahalalisha uchafu,

Angalau waislamu hawakuhalalisha ila ni hulka ya binadamu tu kukumbatia uchafu
Tatio lako ni ilimu yako ndogo!
Nakualika madrasat nuur bahari jannat kwa shehe Umar pale kwa Mtogole!; upate ilimu duñia na ghaibu!
Unapowataja Wakristo Uweke na ushahidi wapi Yesu kafundisha uchafu húo!?
Tunajifunza haya kwenye ilimu Islamu!
[emoji116][emoji116]
Kwenye uisilamu Allah anasema wanaume wanaopumuliana wakitubu waacheni yeye ni mwingi wa huruma na anasamehe!
[emoji116][emoji2534][emoji116][emoji2534]
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Hii umewahi kuisoma??
[emoji116][emoji116]
Sahih al-Bukhari 6474
Narrated Sahl bin Sa`d:

Allah's Messenger (ﷺ) said, "Whoever can guarantee (the chastity of) what is between his two jaw-bones and what is between his two legs (i.e. his tongue and his private parts), I guarantee Paradise for him."

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ أَبِي بَكْرٍ الْمُقَدَّمِيُّ، حَدَّثَنَا عُمَرُ بْنُ عَلِيٍّ، سَمِعَ أَبَا حَازِمٍ، عَنْ سَهْلِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ مَنْ يَضْمَنْ لِي مَا بَيْنَ لَحْيَيْهِ وَمَا بَيْنَ رِجْلَيْهِ أَضْمَنْ لَهُ الْجَنَّةَ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 6474
In-book reference : Book 81, Hadith 63
USC-MSA web (English) reference : Vol. 8, Book 76, Hadith 481
[emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]

Hadi huku kwetu uswazi unaitwa mchezo wa kisilamu wanafumuana malinda kiroho mbaya![emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Wafuasi wa Yesu wamesha Ambiwa!
[emoji116][emoji116]
1 Corinthians 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

[10]. wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
 
Msiba mzito huu,michezo ya kislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…