Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
United Arab Emirates imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikabiliana na makombora 12 ya balistiki, makombora 3 ya cruise na ndege 4 zisizo na rubani zilizorushwa kutoka Iran siku ya Jumatatu.
Mashambulizi hayo yalisababisha watu watatu kupata majeraha ya wastani, kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo, ambayo pia iliongeza kuwa “iko tayari kikamilifu kukabiliana na vitisho vyovyote na itachukua hatua thabiti dhidi ya jambo lolote linalolenga kudhoofisha usalama wa taifa.”
=============
The United Arab Emirates said its air defense systems engaged with 12 ballistic missiles, three cruise missiles and four drones launched from Iran on Monday.
The attacks resulted in three moderate injuries, the country's Ministry of Defense said, adding that it "remains fully prepared and ready to deal with any threats and will firmly confront anything that aims to undermine the security of the country."