syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,793
- 1,919
Mmmm mbona kam reg # yangu ii mkuu maan na mm nipo civil eng2014-04 mkuu civil Eng
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmm mbona kam reg # yangu ii mkuu maan na mm nipo civil eng2014-04 mkuu civil Eng
Lin iyo mkuunimepita hapo kabla hapajaitwa udbs enz hizo panaitwa faculty of commerce.... viva udsm
ha ha jiandae vizuri na cost a/c tena balaa zaid mwenye course akiwa dr. hellenBcom accounting boss
Sehem gan kwanza unaishi?Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
Nakushauri akae hostel kwa faida kadhaa;Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
Sawa Mkuu.Habarini ndugu!

Habarini ndugu!

inategemea na mnapoishi.. kama ni ubungo au mwenge.. na home pako poa.. ana private room.. atokee nyumbani tu...
mimi nimesoma udsm miaka yote mitatu nilikuwa naishi kwa kaka yangu.. alikuwa anakaa ubungo near mabibo hostel.. so nikaenjoy sana life la chuo bila stress
Dah master semista ya kwanza second year je lipi pasua kichwa?ha ha jiandae vizuri na cost a/c tena balaa zaid mwenye course akiwa dr. hellen
Mkuu afu natafuta Ghetto maeneo ya Sinza au Mawasiliano pale. ..vipii bei zake zikoje hko Ghetto la kawaida hiviSawa Mkuu.
Mimi nimemaliza hapo Mlimani mwaka huu. Nimekaa Ghetto(Sinza). Miaka yote mitatu.
Kukaa Home au Ghetto kuna changamoto zake. Changamoto hizo zinategemea mambo yafuatayo;
1. Umbali kutoka eneo akaalo MTU na Chuo.
Hapa suala la usafiri litaingia.
2. Uchumi wa mhusika.
3. Nature ya eneo husika. Je kitaa kipo karibu na Baa au makanisa ya kilokole ambayo husababisha ukosefu wa utulivu nyakati za usiku kujisomea.
Pia suala la usalama. Hapa nazungumzia wezi n.k.
4.umeme
Je umeme unakatikati kwa sababu ya Luku.
Hostel inaraha yake lakini Ghetto ni kwa waliokomaa.
Keko mbalii akae hostel tuNaishi Keko Torori , kwa upande wa chumba atakuanacho na ni patulivu kabisa na Umeme upo. ....
Hahaha noma saana unasubiria semina huku unafurahisha macho.Kuna sehemu/kijiwe pale UDSM juu ukitoka libral chini ya yale madarasa karibu na seminar rooms.
Panaitwa TBS zamani tulipaita hivyo kwakuwa tulikuwa tunakaa pale na kuangalia warembo . Haaaa miaka imekwenda
Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
Muslim University of Morogoro tupo Ngangari. Pia tunashukuru angalau kabla ya 2015 mwishoni Wahitimu wetu walipenya na kupata nyadhifa kadhaa na tunajivunia kwa hilo.Aisee...hongereni . Jitahidini muwe wa kwanza Afrika kumbe mnaweza kabisa.