University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Kuna jamaa anaitwa makoleo yupo coet pale ana deal na ishu za michoro ,,,nackia wa kitambo hatr
 
Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
 
Sehem gan kwanza unaishi?
Umbali wa eneo pia sio salama kwa mwanafunz sababu ya foleni za dar
 
Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
Nakushauri akae hostel kwa faida kadhaa;
1.Akikaa hostel atawahi vipindi vya asubuhi kwa wakati.
2 . Akikaa hostel atapata nafasi ya kufanya majadiliano na wenzake wakati wowote kumbuka majadiliano mengi huwa jioni.
3. Usalama pia wa binti yako maana kuna siku atakua anamaliza vipindi usiku je atafika nyumbani saa ngapi....
 
Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
Sawa Mkuu.

Mimi nimemaliza hapo Mlimani mwaka huu. Nimekaa Ghetto(Sinza). Miaka yote mitatu.

Kukaa Home au Ghetto kuna changamoto zake. Changamoto hizo zinategemea mambo yafuatayo;
1. Umbali kutoka eneo akaalo MTU na Chuo.
Hapa suala la usafiri litaingia.

2. Uchumi wa mhusika.
3. Nature ya eneo husika. Je kitaa kipo karibu na Baa au makanisa ya kilokole ambayo husababisha ukosefu wa utulivu nyakati za usiku kujisomea.
Pia suala la usalama. Hapa nazungumzia wezi n.k.

4.umeme
Je umeme unakatikati kwa sababu ya Luku.

Hostel inaraha yake lakini Ghetto ni kwa waliokomaa.
 
inategemea na mnapoishi.. kama ni ubungo au mwenge.. na home pako poa.. ana private room.. atokee nyumbani tu...

mimi nimesoma udsm miaka yote mitatu nilikuwa naishi kwa kaka yangu.. alikuwa anakaa ubungo near mabibo hostel.. so nikaenjoy sana life la chuo bila stress

Naishi Keko Torori , kwa upande wa chumba atakuanacho na ni patulivu kabisa na Umeme upo. ....
 
Sawa Mkuu.

Mimi nimemaliza hapo Mlimani mwaka huu. Nimekaa Ghetto(Sinza). Miaka yote mitatu.

Kukaa Home au Ghetto kuna changamoto zake. Changamoto hizo zinategemea mambo yafuatayo;
1. Umbali kutoka eneo akaalo MTU na Chuo.
Hapa suala la usafiri litaingia.

2. Uchumi wa mhusika.
3. Nature ya eneo husika. Je kitaa kipo karibu na Baa au makanisa ya kilokole ambayo husababisha ukosefu wa utulivu nyakati za usiku kujisomea.
Pia suala la usalama. Hapa nazungumzia wezi n.k.

4.umeme
Je umeme unakatikati kwa sababu ya Luku.

Hostel inaraha yake lakini Ghetto ni kwa waliokomaa.
Mkuu afu natafuta Ghetto maeneo ya Sinza au Mawasiliano pale. ..vipii bei zake zikoje hko Ghetto la kawaida hivi
 
Kuna sehemu/kijiwe pale UDSM juu ukitoka libral chini ya yale madarasa karibu na seminar rooms.
Panaitwa TBS zamani tulipaita hivyo kwakuwa tulikuwa tunakaa pale na kuangalia warembo . Haaaa miaka imekwenda
 
Hahaha noma saana unasubiria semina huku unafurahisha macho.
 
Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!

Ninawashukuruni sana ndugu Syllae ,Bengazuu, Michaelray22, Freshman , na jombi95 kwa ushauri mlionipa na nitashauriana na Binti yangu ili kufikia uamuzi unaofaa. Asanteni sana.
 
Aisee...hongereni . Jitahidini muwe wa kwanza Afrika kumbe mnaweza kabisa.
Muslim University of Morogoro tupo Ngangari. Pia tunashukuru angalau kabla ya 2015 mwishoni Wahitimu wetu walipenya na kupata nyadhifa kadhaa na tunajivunia kwa hilo.
 
Watakaochaguliwa CoNAS pls jaribuni kuwa makini na masomo.Kupata sup n disco haijawa shukurani kwa mzazi ama kwako.
 
Back
Top Bottom