figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao.
Je, wametugeuza Mtaji?
Wapunguze bei. Angalau iwe elfu nane.Shona lako kama vipi!
🤣🤣🤣🤣Wapunze bei. Angalau iwe elfu nane.
Sasa watoto nitawaonesha nini? Nitapost nini mtandaoni? Nataka kurisha kikofia juuUzuri wake sio lazima, achana nalo fanya mambo mengine
dah aiseeSasa watoto nitawaonesha nini? Nitapost nini mtandaoni? Nataka kurisha kikofia juu
Hawataki. Hata ukisema uazime hawataki. Wanataka helaShona lako kama vipi!
Kitambaa mita 1 sh ngapi?Wapunguze bei. Angalau iwe elfu nane.
Basi wapunguze bei wawafanyie kwa elfu 5😅Hawataki. Hata ukisema uazime hawataki. Wanataka hela
Unataka ujenge historia bure bure? Uliona wapi!!Sasa watoto nitawaonesha nini? Nitapost nini mtandaoni? Nataka kurisha kikofia juu
Sijataka bure. Kwasababu tunavaa masaa manne tu, wafanye elfu nane kila saa iwe elfu mbili. Hapo ukiweka cake, laki inaishaChuo kipi kinatoa joho bure? Huo utaratibu ni tangu enzi za mwalimu
Joho ni 50K kuendelea. UOI bado wanawadekeza sana!Wapunguze bei. Angalau iwe elfu nane.