figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #41
Tatizo ni mtumba. Inatakiwa kila mwaka lipungue bei.. Halafu ni la kawaida. Kama kanzu tu. Angalia picha hapo juuUnataka ujenge historia bure bure? Uliona wapi!!
Tatizo ni mtumba. Inatakiwa kila mwaka lipungue bei.. Halafu ni la kawaida. Kama kanzu tu. Angalia picha hapo juuUnataka ujenge historia bure bure? Uliona wapi!!
Tafuta rafiki yako aliyelipia. Utamuomba upige nalo pichaTatizo ni mtumba. Inatakiwa kila mwaka lipungue bei.. Halafu ni la kawaida. Kama kanzu tu. Angalia picha hapo juu
Sahihi. Lingekuwa jjipya, tungetoa hala elfu kumi koroho safi.Wangefanya hata buku 5 tu jamani.
Tatizo ni mtumba lishavaliwa na bei ni kubwa.. Wafanye elfu naneAisee! Mpaka unamaliza ulikuwa hufahamu bei ya Joho?
Kabisa. Halafu hela za Joho haziongelewi kwenye mapato ya Shule.. Miradi ya watu hiyoKufahamu bei haimaanishi ni sahihi. Wanatulangua sana.
Hakuna niliposema bure. Acha kupotosha mjadala. Nimesema tutoe elfu nane sababu ni mtumba wa miaka kibaoHakuna chuo kinachotoa joho bure!
Chuo kimetukalia kooni. Utafute hela ya Joho, ujinnunulie cake. Au nyie kuna watu wanawalipia?Ona hii dipresheni 😅
Kama kuna uwezekano liibe tuNdio Mkuu. Majoho yenyewe mtumba.. Kila mwaka wanafunzi wanavaa hayo hayo. Nasikia yananuka.. Unapewa ukafue na kunyosha then uyarudishe otherwise hupewi cheti... Natamani kuliiba. Elfu Arobaini nyingi
Anapotosha mjadala. Hakuna alosema joho liwe bure.. Tunaomba wapunguzeUmesoma nikichoandika au umeamua tu kuniquote
Sisi ndo tunavaa hizo za miaka 22. Ni mtumba ulochakaaNdugu yangu, sisi tulio maliza miaka takribani 22 iliyopita tulilipa hiyo, sasa wewe Leo unataka iwe chin?
Ulizia vyuo vingine gharama yake, utajua hiyo 40K bado wanawaonea huruma.
Kuna jeans niliona Dar inauzwa 120kElfu 80 jeans mbili tu??
Duh m najuanga ns 20kKuna jeans niliona Dar inauzwa 120k
Sasa unataka tukomolewe sababu na nyie mlilipa? Hiyo hela haikukuuma?Miaka hiyo UDOM tulilipa 40 au 80? Mtu anikumbushe.
Sasa hiyo hela itatoka wapi? Nauli tu bado napambana niipate ya kwenda kuvaa hilo johoJoho ni 50K kuendelea. UOI bado wanawadekeza sana!
Kufua joho moja ni Tsh 10+, wangewaambia mshone ya kwenu gharama ni ni kuanzia 150+K na kuendelea kwa kuzingatia kitambaaTatizo ni mtumba lishavaliwa na bei ni kubwa.. Wafanye elfu nane
Mwanafunzi ni mwanafunzi! Unadhani joho halipelekwi Kwa dry cleaners kabla na baada ya kulivaa. Hujui lilinunuliwa na linatunzwa, zote gharama. Kumbuka chup cha private hakina ruzuku, hivyo hela ya chuo ni michango ya wanafunzi. Chuo hakina hela, KAZI ya chuo ni kuratibu hela toka kwa wanafunzi.University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao.
Je, wametugeuza Mtaji?
View attachment 3490785
Mkuu, hivi ndivyo watanzania wengi tunavyofikiri. Yaani serikali imetudumaza akili kiasi hatuwezi kufanya reasoning.Sijataka bure. Kwasababu tunavaa masaa manne tu, wafanye elfu nane kila saa iwe elfu mbili. Hapo ukiweka cake, laki inaisha
Katika maisha hakuna bure. Mweleze huyo jamaa. Kila kitu ni gharama, tofauti ni nani analipa hizo gharama. Kama hugharamii unaita Bure, lakini Kuna anayetoa gharama. Wanafunzi wa kitanzania ni shida sana.Chuo kipi kinatoa joho bure? Huo utaratibu ni tangu enzi za mwalimu
Hayo mambo mimi sikufanya, sikuona umuhimu wa kufanya kikubwa ni cheti.Chuo kimetukalia kooni. Utafute hela ya Joho, ujinnunulie cake. Au nyie kuna watu wanawalipia?