KERO University of Iringa (UoI) Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi

KERO University of Iringa (UoI) Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mimi nilipata undergraduate degree wakati wa Mwalimu. Tulikuwa tunaweka caution money Sh 100; na baada ya graduation unarudisha joho lao na kupata cheti cha digrii yako. Siku hizi graduate anaondoka na joho lake kwa hiyo ni lazima alilipie.
Mkuu ni chuo kipi graduate anaondoka na joho lake? Maana vyuo vingi unalipia kuanzia 50k- 80k na hapo unalikodi inatakiwa uridishe baada ya sherehe kuisha
 
Tena nasubiri kwa hamu cake yako coca. Nitatuma boda aifwate kokote 😁😁😁
Dear T, chuo nimemaliza mwaka juzi .
Hadi nimesahau na Joho enyewe nilovaa.
😂😂😂😂😂
Mi bana mambo ya kukaa kwenye sherehe siyawezi, Harusi yenyewe inanipa mawazo basi tu! 😭
Una harusi lini dear, nije nile kuku. 😋😋
 
Mimi nimemaliza UDSM miaka35 iliyopita.Kukodi joho ilikuwa shillingi 800 kumbuka imepita miaka35 nahisi ulikuwa hujazaliwa.
Kumbuka yale majoho yanahitaji kufuliwa dry cleaner na pasi wewe unataka ufanyiwe elfu nane?
Yaani umesoma miaka yote hiyo kwa mbinde unashindwaje kutoa 40,000?

kibaya zaidi wako wanafunzi wanaoishi maisha ya kinyumba na wanafunzi wenzao.Endapo una uwezo wa kuishi hivyo itakuwaje 40,000 ikushinde? hapa siongelei wote.

Hata ungepewa 40,000 hiyo hela ungeitumia kwa matumizi mengine pengine ya hovyo tu.
By the way uzuri mmoja kutoshiriki mahafali hakukunyimi cheti.We cha kufanya usiende mahafali uje uchukue cheti chako.Au njia nyingine tafuta fundi kata hivyo vitambaa kwa kuiga mfano wa joho halafu njoo leta mrejesho umegharamika shillingi ngapi.Utakuja gundua itazidi hiyo 40,000
Count on me ''Cheap things are very expensive''.
 
Tena kuna chuo kama SAUT unalipia joho na unapewa siku 2 za kukaa na joho baada ya graduu, ukichelewa kurudisha siku husika unapigwa fine 10000 kila siku. Ukichelewa siku 7 utalipa fine 70000.
Hakuna namna toa tuu ufurahie moment.
Na kile kimfuko cha kuliweka joho unalipia Ukipoteza tena benki mbona utajutraa!😂

Ukifata cheti unalipia joho uwe ulifanya au hukufanya mahafali!
 
Hakika bei ya kukodisha sio RAFIKI kwa Mzazi wa kitanganyika..walau iwe hata 20K.
Kwingineko ni fomu hizi za mitihani ya darasa la saba..shule ina nafac 100 ila wanauza formu zaidi ya 10,000 kwa 20K..sio sawa
 
Dear T, chuo nimemaliza mwaka juzi .
Hadi nimesahau na Joho enyewe nilovaa.
😂😂😂😂😂

Una harusi lini dear, nije nile kuku. 😋😋
Aiii mdogo wangu sijasema ivo… unanilisha maneno ..


Nachoka mimi jirani wa Clemence Mwandambo🤣😂
 
Back
Top Bottom