figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #121
Mimi sipo fb. Umechanganya!Huyu figganigga hata mimi nimeshangaa huyu jamaa ni wa siku nyingi humu fb na tena ni platnum Member kumbe bado anasoma? Nadhani anatetea vijana wake au wadogo zake.
Kwa mada anazotoaga humu fb za maana zilizoshiba anastahili kuwa na PhD
Elimu ni bahari. Wala haihusiani na ukongwe wa humu..Aisee we jamaa bado unasoma siku zote hizo?
Mi nakuonaga mkongwe humu kumbe bado uko shule tena degree ya kwanza.
Aisee hongera
upo FB Bro na kuwa fb sio kosaMimi sipo fb. Umechanganya!
Wewe ufanye graduation au usifanye wao wanakata juu kwa juu pesa ya graduation ikiwemo na joho.Elimu gharama mkuu kama hutaki nenda na bukta yako hakuna atakayekuuliza
40K jeans mbiliWakishua mko vizuri, jeans ya 40k si ya dhahabu kabisa?
Si ukipata unakula mwenyewe acha tu iwe ngumu😂Pesa ngumu dipree🤣🤣
Uzuri sio lazimaKabisa.. Halafu wanalazimisha elfu arobaini. Huu ni wizi ambao umehalalishwa. Natamani rais apige marufuku kulipisha majoho.. Uwezo haulingani
Bado ni uharibifu40K jeans mbili
😆😆😆😆😆😆😆😆 kwani Joho ni chipsi kuku?Wapunguze bei. Angalau iwe elfu nane.
Sawa tajiriBado ni uharibifu
Acha ushirikina kenge majiSawa tajiri
Mbuzi wa kwenda ushirikina upiAcha ushirikina kenge maji
Haji manara niajeMbuzi wa kwenda ushirikina upi
We lofa utadhani upo siriaziHaji manara niaje
RasiiiWe lofa utadhani upo siriazi
RasiiiWe lofa utadhani upo siriazi
chukua cheti chako kapambane na maisha achana na habari ya joho na graduation. Watoto utawaonyesha mafanikio yako.Sasa watoto nitawaonesha nini? Nitapost nini mtandaoni? Nataka kurisha kikofia juu