Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu



Arsenal Ina average players wengi ambao wanapata matokeo kwa kutumia spirit waliyonayo sasa.

Nketiah, Zinchenko sio wachezaji wa kuwa kwenye 1st eleven ya timu inayotaka ubingwa.

Pia wanamakosa mengi sana ambayo huwa yanapelekea kucreat chances za wao kufungwa.

Uwezekano wa wao kupoteana kwenye mbio za ubingwa ni mkubwa sana, na hata ikitokea wamechukua, hawana consistency ya kuwafanya next season wa compete for title
 
Zinchenko awe vipi average player wakati amechukua ubingwa akiwa na Man City?!
 
Endelea na uchambuzi Gary Neville, sisi tupo kileleni.
 
Chances za wao kufungwa? Arsenal kapoteza mechi ya pili juzi.

Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba Arsenal hajaanza kua vizuri msimu huu ameanza msimu uliopita raundi ya 2 so kwa hapa ilipo Arsenal ni inamalizia ilipopaanza.

Kitakachoikosesha Arsenal ubingwa siyo wapinzani ni Arsenal yenyewe na mipango yake, kwa timu kama City imekua inasajili kila msimu bila kujali imetoka kuchukua kombe ama la Arsenal dirisha hili ilitarajiwa ilete kiungo, winger na Striker. Ila imemleta CB na Midfielder Jorginho.

So ni yenyewe ndiyo itaamua hatma yake siyo nyuzi za JF, na msimu huu hata bahati iko upande wa Arsenal anapoteza points kwa Everton mpinzani wa Karibu anapoteza kwa Spurs.
 
Man city amekubaka barazani kwako
 
Maskini Arsenal, [emoji3062] Kipara ameshakaa kileleni, hapo bado Arsenal anatakiwa aende Etihad kupokea kipigo kingine, bado hajatembelea Anfield, na kwa Nyukasto

Poleni sana Arsenal, mmefanya uzembe kumwachia kipara aongoze, kipigo cha Everton na sare ya brentford vimewamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…