Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Hawakuamini sasa wameelewa.
FT Arsenal 0-3 Brighton
 
Kwa City, westham, Liverpool na Brighton... Arsenal ndipo alipopoteana kama ulivotabiri aisee upewe msitu kabisa sio Maua...
Lakini ingekua dhambi Jesus abebe ndoo Haaland anaangalia tu...
 
Bado una neno juu ya mleta mada? Mpe maua yake.
 
Yaani umeandika upupu mtupu.
 
We mzee unapaswa kupewa heshima ya ulegend kwenye utabiri ulioufanya, uliona mbali sana.
Ingawa league bado haijaisha ila mpaka sasa utabili wako una asilimia 90% kutimia.
Hatimae yametimia..😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…