Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20250226-175435.png

Najua wazee wa prokotoo, ibanie ndani, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo

Kula kwanza hicho chuma

View: https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
 
Yupo talented kiukweli.. Package yake ni kubwa sana kwa upande wa Quality ila katika upande wa biashara. Bado hajapata mega hits za kumfanya kuwa Top kwa Afrika mashariki

Ila kwa Tuzo anaweza kuchukua kwa sababu ubora huwa unaangaliwa sana pia
 
Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom