Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

Shiski ni timeless jamaa maana ana mashairi makali na sauti unique sana lakini pia anaweza switch genres tofauti za muziki na akatoa hits
Kuna kipindi ali acha mziki kwa maamuzi tu, na bado ali rudi aka piga comeback.

Otile brown ana jua pia, shida mvivu.
 
Kipara bila pesa kidonda,cheki demu yako anakutoka,wananiitanga Maradona,juu mi huwakata nikisonga,usipandishe mrembo bodaboda,hiyo ndiyo siku ya mwisho utamuona,usiniulize ka niligonga,niulize kile niliona.
 
Mkuu nikuambie tu kwa ujumla Afrika Mashariki na kati hii ukizitoa Tz na DRC kwingine kunakobakia hakuna mziki wowote ni vichekesho tu!!!
Inategemea na taste yako mkuu. Kenya kuna watu kama Elani, sauti sol & sol generation, jovial, otile, phy, hart the band etc wanaimba fresh tu

Bongo tupo juu sikatai ila hata wakenya baadhi wapo vizuri
 
Inategemea na taste yako mkuu. Kenya kuna watu kama Elani, sauti sol & sol generation, jovial, otile, phy, hart the band etc wanaimba fresh tu

Bongo tupo juu sikatai ila hata wakenya baadhi wapo vizuri
Hao wote wanaimba nyimbo za kizee miziki iliyopitwa na wakati
 
Yupo talented kiukweli.. Package yake ni kubwa sana kwa upande wa Quality ila katika upande wa biashara. Bado hajapata mega hits za kumfanya kuwa Top kwa Afrika mashariki

Ila kwa Tuzo anaweza kuchukua kwa sababu ubora huwa unaangaliwa sana pia
Huyo jamaa anajua sana Tena sana na hatumii nguvu nyingi,

Kwenye mpira namlinganisha na Messi/Neymar ( talent ).

Huyo ndio aliyekuwa anaiweka Saut Soul mjini baada ya kutoka yeye tu na kundi limekufa .
 
Kuna group gani bongo lilikuwa na ukubwa wa Sauti Sol ?...

Hata master jay aliposema wakenya wana talents Ila branding tumewazidi. Inabidi uelewe tu, kwenye sauti. Ukiangalie wasafi tu, labda mbosso anaweza jitahidi simama nae kwenye live performance. Wengine hakuna

Bien akiwa serious zaidi na akashirikiana na wasanii wa bongo kwenye mashairi na production ili kuteka soko la bongo. Anaweza fanya maajabu
Hakika mkuu
 
Nikionaga mtu anautaja huu wimbo "swing swing mziki ni bomba" baaasi najua huyu ni old-school wa uhakika kabisa na mnaweza mkajadiana naye mziki kwa mapana na marefu 😀😀😀
Yeah, Klepto hao, mimi mwenyewe bila EATV (channel 5) ningechelewa kumjua, ingawa ile "Bad Boy" na Amani ilienda sana
 
Back
Top Bottom