Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

Kwa ubora alionao?
Tangu lini wasanii wa Kenya wakawa bora kuwazidi wa Bongo

Kuna group gani bongo lilikuwa na ukubwa wa Sauti Sol ?...

Hata master jay aliposema wakenya wana talents Ila branding tumewazidi. Inabidi uelewe tu, kwenye sauti. Ukiangalie wasafi tu, labda mbosso anaweza jitahidi simama nae kwenye live performance. Wengine hakuna

Bien akiwa serious zaidi na akashirikiana na wasanii wa bongo kwenye mashairi na production ili kuteka soko la bongo. Anaweza fanya maajabu
 
Kwa nyimbo za kizee za sauti sol zile?
Hata bien na yeye anaimba kizee na hana mashairi yoyote ya maana
 
Shiski ni timeless jamaa maana ana mashairi makali na sauti unique sana lakini pia anaweza switch genres tofauti za muziki na akatoa hits
Mkuu nikuambie tu kwa ujumla Afrika Mashariki na kati hii ukizitoa Tz na DRC kwingine kunakobakia hakuna mziki wowote ni vichekesho tu!!!
 
Back
Top Bottom