MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kina Diamond, Harmonize, Zuchu, Mboso... wako mbali sana kwa sasa. Wanajulikana Africa nzima. Kuna nchi nilienda hawaongei kiswahili nikakuta Dada anasikiliza nyimbo za Mbosso akaniomba nimwambie maana ya hizo nyimbo.