Huyu na shinski my favsπ₯View attachment 3250605
Najua wazee wa prokotoo, ibanie nandi, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo
Kula kwanza hicho chuma
View: https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
Kuna kipindi ali acha mziki kwa maamuzi tu, na bado ali rudi aka piga comeback.Shiski ni timeless jamaa maana ana mashairi makali na sauti unique sana lakini pia anaweza switch genres tofauti za muziki na akatoa hits
Shinski ni balaa na nusu, Kuna otile brown pia.Huyu na shiski my favsπ₯
Toka enzi za Swing na akarudi. Jamaa ni musical geniusKuna kipindi ali acha mziki kwa maamuzi tu, na bado ali rudi aka piga comeback.
Otile brown ana jua pia, shida mvivu.
Inategemea na taste yako mkuu. Kenya kuna watu kama Elani, sauti sol & sol generation, jovial, otile, phy, hart the band etc wanaimba fresh tuMkuu nikuambie tu kwa ujumla Afrika Mashariki na kati hii ukizitoa Tz na DRC kwingine kunakobakia hakuna mziki wowote ni vichekesho tu!!!
will Paul hapana, otile ana jua vipi nikupe list ya Ngoma zake Kali?Toka enzi za Swing na akarudi. Jamaa ni musical genius
Otile anajitahidi ila yeye na willy Paul huwa siwaelewi sana maana wanaiimba bongo flava..
Yule naye anaimba au anaghani mashairi..........maana hata sijui alikuwa anaimba miondoko gani??Msanii Kenya alikuwa Jaguar π tu
Hao wote wanaimba nyimbo za kizee miziki iliyopitwa na wakatiInategemea na taste yako mkuu. Kenya kuna watu kama Elani, sauti sol & sol generation, jovial, otile, phy, hart the band etc wanaimba fresh tu
Bongo tupo juu sikatai ila hata wakenya baadhi wapo vizuri
Vijana barubaru je?Shinski ni balaa na nusu, Kuna otile brown pia.
Sikupingi mwandishi
Nikionaga mtu anautaja huu wimbo "swing swing mziki ni bomba" baaasi najua huyu ni old-school wa uhakika kabisa na mnaweza mkajadiana naye mziki kwa mapana na marefu πππToka enzi za Swing na akarudi. Jamaa ni musical genius
Huyo jamaa anajua sana Tena sana na hatumii nguvu nyingi,Yupo talented kiukweli.. Package yake ni kubwa sana kwa upande wa Quality ila katika upande wa biashara. Bado hajapata mega hits za kumfanya kuwa Top kwa Afrika mashariki
Ila kwa Tuzo anaweza kuchukua kwa sababu ubora huwa unaangaliwa sana pia
Hakika mkuuKuna group gani bongo lilikuwa na ukubwa wa Sauti Sol ?...
Hata master jay aliposema wakenya wana talents Ila branding tumewazidi. Inabidi uelewe tu, kwenye sauti. Ukiangalie wasafi tu, labda mbosso anaweza jitahidi simama nae kwenye live performance. Wengine hakuna
Bien akiwa serious zaidi na akashirikiana na wasanii wa bongo kwenye mashairi na production ili kuteka soko la bongo. Anaweza fanya maajabu
Hao ni season song wonders, bado Wana kazi kubwa.Vijana barubaru je?
Yeah, Klepto hao, mimi mwenyewe bila EATV (channel 5) ningechelewa kumjua, ingawa ile "Bad Boy" na Amani ilienda sanaNikionaga mtu anautaja huu wimbo "swing swing mziki ni bomba" baaasi najua huyu ni old-school wa uhakika kabisa na mnaweza mkajadiana naye mziki kwa mapana na marefu πππ