MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umeshawahi kuvuka mpaka wa Tanzania?
Yaah wale jamaa branding ni zero sijui wanaridhika Mapema au niaje.Kuna group gani bongo lilikuwa na ukubwa wa Sauti Sol ?...
Hata master jay aliposema wakenya wana talents Ila branding tumewazidi. Inabidi uelewe tu, kwenye sauti. Ukiangalie wasafi tu, labda mbosso anaweza jitahidi simama nae kwenye live performance. Wengine hakuna
Bien akiwa serious zaidi na akashirikiana na wasanii wa bongo kwenye mashairi na production ili kuteka soko la bongo. Anaweza fanya maajabu
Yaah wale jamaa branding ni zero sijui wanaridhika Mapema au niaje.
Saut sol walifika mbali sana wale jamaa sijui ni kipi kilifanya waachane na walipoachana jamaa nsio yuko juu ya wenzie wote, yeye ndo anapata deals na collabo kibao.
Hahaaa enzi za longombazNikionaga mtu anautaja huu wimbo "swing swing mziki ni bomba" baaasi najua huyu ni old-school wa uhakika kabisa na mnaweza mkajadiana naye mziki kwa mapana na marefu πππ