Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Takribani miaka 500 iliyopita kulikua na biashara ya utumwa ambayo kwa kipindi kile ilikua imehalalishwa kabisa kabla ya kuja kupigwa marufuku miaka ya mbele yake. Kulikua na watu watatu ambao wanahusika katika hii biashara ambao ni slave, slave driver na slave master.
Ndoa inafanana sana na hii biashara. Slave ni mume. Mke ni slave driver au slave master.
Slave driver anamiliki mtumwa mpaka pale atakapomuuza na kupata faida yake. Hizi ni zile ndoa ambazo mwanamke anazuga zuga kwa miaka kadhaa ya kumtumia mwanaume kama ngazi ya kufikia malengo yake mpaka atakapokua stable kuweza kujimudu bila mwanaume. Mwanamke anaondoka kuendelea na maisha yake. Kama mali zipo atapata na mgao.
Slave master huyu yupo kwenye zile ndoa zinazodumu kwa muda mrefu. Hapa slave anamilikiwa na atatakiwa kufanya kazi ili slave master apate mahitaji yote kwa maisha yake yote bila kushindwa. Pale slave atakaposhindwa kutimiza wajibu wake automatically slave master anakua slave driver. Mfumo wa sheria unamwezesha slave master kutimiza hilo.
Migogoro katika biashara ya utumwa ya ndoa inaibuka pale slave atakapoelemewa na kazi na kuhitaji kusaidiwa na slave master au slave master atakapoanza kumkandamiza slave kwa kiasi ambacho akivumiliki.
Biashara ya utumwa ya ndoa itakayoenda vizuri ni ile ambayo slave master anamtreat slave kama familia ili slave aendelee kuwa mtiifu zaidi. Wahenga wanasema "ukila na kipofu usimshike mkono"
Na watoto? Ni zao la slave master, ambao atawatumia kumkandamiza zaidi slave kwa mahitaji yasiyokua na mwisho. Watoto hao wanaolelewa kwa jasho la slave, watakapokua wakubwa wataanza kusema "nani kama mama". Vilevile, slave master ndie anajua baba halali wa mtoto, kwahiyo inawezekana slave akawa anahudumiwa mtoto ambae sio wake bila kujua.
Katika biashara ya mtumwa, malipo ya watumwa yalikuwa chakula tu kidogo na sehemu ya kulala. Biashara ya utumwa ya ndoa watumwa wetu malipo yao ni dakika chache tu za sex kwa matakwa na ratiba ya slave master.
KATAA NDOA
Don’t be a simp