Unpopular opinion: Unaikumbuka biashara ya utumwa? inafanana sana na ndoa

Wewe si umeoa bikra, mbona unakataa ndoa? Au mmeachana?
Hili suala nafikiri nikiandikie uzi watu muelewe. Kuoa na kufunga ndoa ni vitu tofauti. Kuona ni kumchukua mwanamke rasmi kutoka kwao. Hapa hata mkiachana zutatumika sheria za kitamaduni.

Kufunga ndoa ni kusaini mkataba wa kuyatambulisha mahusiano yenu kisheria. Hapa mkiachana zitatumika sheria za kimahakama.

Sikatai mtu kuoa, ambacho sishauri kifanywe na mwanaume ni kusaini ule mkataba wa ndoa
 
Sio rahisi kwako wewe kuona kwa sababu unaangalia kwa mtszamo wa kike. Wanawake wengi mna changamoto kidogo ya kuona mbali. Lakini hii feminism namna inavyoenezwa na kutendeka unaona kabisa kuna tatizo kubwa linaandaliwa uko mbeleni
Labda wanawake unaokutana nao wewe! Mwanamke ni kiumbe ambaye anaona mbali kuliko unavyofikiri! Basi andikeni wazazi wenu na ndugu zenu, wacha tuone kama itafikia huko!
 
Hili suala nafikiri nikiandikie uzi watu muelewe. Kuoa na kufunga ndoa ni vitu tofauti. Kuona ni kumchukua mwanamke rasmi kutoka kwao. Hapa hata mkiachana zutatumika sheria za kitamaduni.

Kufunga ndoa ni kusaini mkataba wa kuyatambulisha mahusiano yenu kisheria. Hapa mkiachana zitatumika sheria za kimahakama.

Sikatai mtu kuoa, ambacho sishauri kifanywe na mwanaume ni kusaini ule mkataba wa ndoa
Hapo nimekuelewa.
 
Labda wanawake unaokutana nao wewe! Mwanamke ni kiumbe ambaye anaona mbali kuliko unavyofikiri! Basi andikeni wazazi wenu na ndugu zenu, wacha tuone kama itafikia huko!
Wanawake mlio wengi hamna upeo wa kuliona tatizo likiwa mbali, ni mpaka tatizo lifike mlangoni kabisa ndio mgundue.
 
Back
Top Bottom