Unpopular opinion: Unaikumbuka biashara ya utumwa? inafanana sana na ndoa

Dada alikuwa na milion 10 tu wameigawana pasu! Inauma sana😁
Walifunga ndoa ya kiislamu nyumbani kwa kina Lame uko Senagal. Waisalmu hawana utaratibu wa kugawana mali wanandoa wakilakiana kwaiyo hata Lame hawezi kupata chochote kwenye mali za huyo dada.

Lakini Lame mali zake kazisajiri kwa jina la baba ake. Ukiachana na ndoa inawezekana lengo likawa kujilinda na sheria za ulaya ambazo zinamsaka mwanaume kwa udi na uvumba.

Kuna mchazaji wa mpira wa miguu anaitwa Mateta anacheza ligi ya uingireza. Majuzi walikua na mechi wakashinda. Baada ya mechi akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari wa kike kamera ilimnasa akiwa amemshika mabega hapa pichani.

Sasa hivi mafeminist wa ulaya wanaendesha movement ya kutaka Mateta ashtakiwe kwa unyanyasaji kwa kitendo cha kumshika huyo dada mabebegani.

Mwandishi mwenyewe kasema hakuona tatizo lolote alichukulia kitendo hicho ni kama urafiki tu na furaha ya ushindi. Kwahiyo hatma ya Mateta imeshikiliwa na huyo dada mwandishi. Shinikizo likimzidi huyo dada na kesi ikafunguliwa basi Mateta hapo career yake ya mpira itakua imefika mwisho.

Maana timu yake itampiga suspension, makampuni yatavunja nae mikataba, atapigwa faini kubwa sana na itakua ngumu kwake kupata timu nyingine.

Haya mambo ndio yanafanya hawa wanamichezo na wasanii waanze kusajiri mali zao kwa majina ya wazazi wao. Maana ishu ndogo tu bila kutarajia unaweza ukajikuta umepukutishwa kila kitu ulichokitolea jasho maisha yako yote
 

Attachments

  • IMG_20260411_223807.jpg
    94.5 KB · Views: 25
Duhh mambo ni mengi sana zama hizi, sio kwa feminist tu hata kwa watoto, ukiwa hata swimming coach unatakiw akuvaa tshirt child protection wako active usionekane unamuabuse mtoto! Mambo yamebadilika sana, tutasingizia na wanawake tu! Angakia hata haki za binadmau wanavyowapambania lgbtq Kila kitu kimekuwa prioritized haijalizshi ni kwa kumkandamiza nani!
 
Sheria zinamweka mwanaume kando, sanasana uko ulaya na marekani. Hapo kama mwanamke ndie angemshika mabegani jamaa kusingekua na shinikizo lolote la kutaka mwanamke achukuliwe hatua za kisheria. Sisi hapa kwetu sheria sio kali sana. Ulaya sheria zimetoa kipaumbele cha kwanza kwa mwanamke, pili mtoto, tatu wanyama wa nyumbani(paka na mbwa), halafu mwisho kabisa ndio mwanaume
 
Hahaha Umerudi kivingime Mkuu
 
Ndio Maana Ulaya Wanaume wamechanganyikiwa wengine wameamua wawe Tu mashoga, yaani wale wamejaribu kujitoa kwenye mifumo wameishiw akiwa walevi wa kupindukia na uvutaji sigara uliopitiliza..

Kifupi Ulaya na Marekani Wanaume wamebaki wachache Sana, wamesusa kuoa kabisa
 
Duhh! Basi isiegemee sana upande huo mkuu, angalia katika janii yetu mambo yanaendaje kwa upande wa mwanaume!
 
mtoa mada kuna uzi wako ulisema umeoa na mkeo ni Muiraq... kwa nini unawapoteza vijana?
 
Duhh! Basi isiegemee sana upande huo mkuu, angalia katika janii yetu mambo yanaendaje kwa upande wa mwanaume!
Huku movement ya kumwondoa mwanaume kwenye nafasi yake kiuchumi na kijamii bado ipo hatua za mwanzoni. Wanaume tukiendelea kufumbia macho huu upuuzi unaoitwa feminism tutafika walipo huko ulaya na marekani
 
mtoa mada kuna uzi wako ulisema umeoa na mkeo ni Muiraq... kwa nini unawapoteza vijana?
Yap, wife ni Muiraq wa Karatu.

Ndoa na kuoa ni vitu tofauti. Binafsi sikatai mwanaume na mwanamke wenye nia ya dhati kutengeneza familia yao wakiamua kuishi pamoja na wakapewa baraka na familia za pande zote mbili.

Ambapo kwangu kina ukakasi ni ule mkataba wa kitapeli unaoitwa ndoa ambao mwanaume na mwanamke wanausaini kutambulisha mahusiano yao kisheria. Ule mkataba ni sumu kali kwa mwanaume na simshauri mwanaume yoyote kuusaini.

Hata huyu mtoto wa mama mkwe nilimwambia tangu mwanzo mimi kwenda kwao kumchukua rasmi hakuna shida lakini suala la kula kiapo kanisani na kusainishana mkataba wa ndoa siwezi kufanya
 
Huku movement ya kumwondoa mwanaume kwenye nafasi yake kiuchumi na kijamii bado ipo hatua za mwanzoni. Wanaume tukiendelea kufumbia macho huu upuuzi unaoitwa feminism tutafika walipo huko ulaya na marekani
Hmm sidhani kama inawezekana huku! Ukizingatia uchumi wa wanaume wengi bado hohehae! Uchumi hautishi kiasi cha kuwazisha kiasi hicho! Hali inatisha nchi nzima, kwanini muanze kujipa stress mapema hivi?

Na msipofumbia macho mnataka kufanya nini? Ndio muandike majina ya wazazi wenu kwenye kiwanja au nyumba na gari na acc ya bank au?
 
Wewe si umeoa bikra, mbona unakataa ndoa? Au mmeachana?
 
Sio rahisi kwako wewe kuona kwa sababu unaangalia kwa mtszamo wa kike. Wanawake wengi mna changamoto kidogo ya kuona mbali. Lakini hii feminism namna inavyoenezwa na kutendeka unaona kabisa kuna tatizo kubwa linaandaliwa uko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…