Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #41
Hili suala nafikiri nikiandikie uzi watu muelewe. Kuoa na kufunga ndoa ni vitu tofauti. Kuona ni kumchukua mwanamke rasmi kutoka kwao. Hapa hata mkiachana zutatumika sheria za kitamaduni.Wewe si umeoa bikra, mbona unakataa ndoa? Au mmeachana?
Labda wanawake unaokutana nao wewe! Mwanamke ni kiumbe ambaye anaona mbali kuliko unavyofikiri! Basi andikeni wazazi wenu na ndugu zenu, wacha tuone kama itafikia huko!Sio rahisi kwako wewe kuona kwa sababu unaangalia kwa mtszamo wa kike. Wanawake wengi mna changamoto kidogo ya kuona mbali. Lakini hii feminism namna inavyoenezwa na kutendeka unaona kabisa kuna tatizo kubwa linaandaliwa uko mbeleni
Kulea toto la mtu na ukoo wake adi siku yako ya mwisho na mali zako wakigawana kwa fujo sio mchezo jombaaNdoa sio mpango wa Mungu, tulipigwa wazee.
Hapo nimekuelewa.Hili suala nafikiri nikiandikie uzi watu muelewe. Kuoa na kufunga ndoa ni vitu tofauti. Kuona ni kumchukua mwanamke rasmi kutoka kwao. Hapa hata mkiachana zutatumika sheria za kitamaduni.
Kufunga ndoa ni kusaini mkataba wa kuyatambulisha mahusiano yenu kisheria. Hapa mkiachana zitatumika sheria za kimahakama.
Sikatai mtu kuoa, ambacho sishauri kifanywe na mwanaume ni kusaini ule mkataba wa ndoa
Wanawake mlio wengi hamna upeo wa kuliona tatizo likiwa mbali, ni mpaka tatizo lifike mlangoni kabisa ndio mgundue.Labda wanawake unaokutana nao wewe! Mwanamke ni kiumbe ambaye anaona mbali kuliko unavyofikiri! Basi andikeni wazazi wenu na ndugu zenu, wacha tuone kama itafikia huko!
Exclude me from that shit!Wanawake mlio wengi hamna upeo wa kuliona tatizo likiwa mbali, ni mpaka tatizo lifike mlangoni kabisa ndio mgundue.