Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mnafiki kama unajua Mungu anapigania kwa nini alimuacha huyo rafiki yako asimpiganie.Zake zilifika full stop acha siasa za kichadema.Mnakosaga vitu vya kuandika mbavu kabisa
Ni kweli bro ila mungu yupo atanipigania
 
halafu ndo tunawaita viongozi mwee hukumu ya Mungu naichukue nafasi yake
 
Simple tafuta TIN number yake, angalia kamaanalipa?

Hebu kaka naomba unisaidie kitu kidogo tu , fuatilia kama Ndugai anaendelea na hizo biashara zake na kama analipa kodi , tuletee hapa Jf , tutashughulika Naye , haya mambo yake ya ushirikina yanaishia hukohuko kwao , fanya hivyo kaka.
 
Inaonekana kusoma hakuna matokeo ya moja kwa moja na kuelimika, nilitegemea mtu wa kiwango cha masters kiwango chake cha kufikiri kiwe juu na siyo katika viwango vya KICHAWI. Nilifikiri mwisho atatueleza kwamba lorry hilo liliendeshwa na Job au lina uhusiano naye, kumbe mwelekeo wa mawazo yake ni UCHAWI?

Napata shida namna ya kuliweka neno ''Great thinker'' wakati watu wanajizuia kufikiri kwa upana badala yake wanayapa majibu maswali machache waliyoyachagua yenye mwelekeo wa kichawi. Sijui hali itakua vipi kwa wale ambao hata darasa la pili hawakufika.

Labda hata huyu Prof. Majimarefu ni Prof. wa University!!! Maana ndiko mtoa maada anajaribu kutuelekeza. Sasa na hizi elimu za kata sijui hali itakuwaje.
 
Personally naamini uchawi upo!
Alafu ivi unapochukua hatua ya kukiondoa kiumbe cha mwenyezi duniani kwa matakwa yako ivi wewe utaishi milele?
Ngoja nawe ufe uone mziki wake mbele ya mola.
 
Anaonekana ni kiboko amfanyizie na Kamanda Lissu
 
Ni kweli kabisa.. Ndugai ni mshirikina sana. Mganga wake yuko Kijiji cha Mbande, njia panda ya kwenda Kongwa ukiwa Barabara kuu ya Dodoma Morogoro/Dar.

Nachoweza kusema Ndugai hafai! Uchaguzi wa 2010 aliponea tundu la sindano. Kongwa wameshamchoka sana, alichofanya ni kumteka nyra mpinzani wake na kumfungia ndani na kwamba alimtishia maisha kuwa angemuua kama angeendelea kushindana naye. Jamaa kaufyata hadi leo. Chezea fupi nyundo weye!
 
Ndiyo maana nchi na watu wake wanadhoofika tu ni kwasababu wenye mamlaka wanakwepa kulipa kodi na kukalia kulipiza visasi kwa watu wachini wanapowabana .Familia, kijiji, mji na haya nchi iliyosheni watu na watawala wanaojihusisha na ushikirina haifanikiwi kamweeeeeeeeeeeeeeee.
Mungu atuhurumie
 
Kama ni kweli damu ya marehemu na iwe juu ya Ndungai.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Uchawi upo na nguvu ya kuwapiga wachawi ipo nayo ni Power of Jesus Christ sasa hivi tunatuma fire kwa wachawi wote hasa bungeni!
 
Personally naamini uchawi upo!
Alafu ivi unapochukua hatua ya kukiondoa kiumbe cha mwenyezi duniani kwa matakwa yako ivi wewe utaishi milele?
Ngoja nawe ufe uone mziki wake mbele ya mola.
Wamekula na kuvimbiwa. Hawajui kama nao kuna siku watakufa.
 

Marehemu apumzike kwa amani huko aliko. Wewe mtoa mada umenishangaza sana. Eti unauliza kwa nini afe yeye peke yake? Wee ulitaka wafe wote ndio roho yako ifurahi? watu wengine mnashangaza sana. Hakuna uhusiano wa kifo cha ndugu yako na vitisho vya job ndugai. Isitoshe, inawezekana alishatishwa na watu wengi kutokana na msimamo wake wa kudai kodi ya serikali. Umbeya mtupu. Unataka kumchafua Job Ndugai kwa chuki zako binafsi. Hatuwezi kuvumilia hilo. Ukweli ndio huo.
 

ya ukweli hii mkuu? ni hatari....
 
Kwa hili la kukwepa kodi, hakuna aliye msafi katika wabunge wa CCM. Mfano, Yule aliyewahi kuwa waziri wa Maliasili na utoroshaji wanyama, akanunua Jumba la kiukweli Mbezi beach, kafaili kake ka kodi kako Temeke, ati kalipa kodi mwaka juzi shilingi laki mbili. Na wengi wengine akina EL, Rosti tamu, in short wakwepa kodi mahiri ni vigogo na wafadhili wa CCM.
 
Huyu si ndio aina ya mijitu iliyojaa huko magambani! Uchawi kila sehemu!

Wewe Amiliki mbona wewe ndo unatafutwa na FBI, ngoja nikatoe taarifa nimekuona JF nijinyakulie mamilioni...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…