Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Status
Not open for further replies.
hata akiwa mchawi namna gani lazima nafisi yake itaonja mauti, shehe yahaya yuko wapi? wale mnaotoka mwanza Magu (mwanaburungute, mungu wapili, samike) wako wapi? hata yeye kama aliua hakia atakufa tu
 
Huyu jamaa mshirikina, lakini hamshindi Lissu na zitto. Uliza Singida & kigoma

Ndungai Macho yamemtoka kumbe ndio zake za kuroga watoto wa watu kwa sababu tu wamefanya mambo yanayopaswa kufanywa kisheria,yaani naibu spika safari zote fedha zote bado anadhulumu roho ya mtu
 
Huyu jamaa mshirikina, lakini hamshindi Lissu na zitto. Uliza Singida & kigoma

Ndungai Macho yamemtoka kumbe ndio zake za kuroga watoto wa watu kwa sababu tu wamefanya mambo yanayopaswa kufanywa kisheria,yaani naibu spika safari zote fedha zote bado anadhulumu roho ya mtu
 
aliua babaye hahaha mweu. Ndugai kwisha ulifanyia gizani sasa twakwanika kwenye taa kubwa jf. Kwisha habari yako NDUG-HAI
Kwasasa ntakuwa nakuita Ndug-died
 
Hi wanajamvi, leo nakuja mbele yenu kuwaeleza hiki kitu.

Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nafanya masters chuo kikuu cha dsm kulikuwa na afisa mmoja wa tra wilaya ya kongwa ndugu STANLEY NYAMBOGA. Huyu kijana alikuwa ni kijana machachari na alikuwa na msimamo mkali asiyependa yumbishwa. Nilibahatika kufanya nae kazi MBEYA baadae akahamishiwa mjini kongwa na kuwa afisa wa TRA wilaya.

Mnamo mwaka 2010 aliingia kwenye mgogoro na ndugu Job Ndugai kipindi hiko akiwa ni mbunge. Sababu kubwa ya bifu hilo ni muheshimiwa Ndugai kukataa kulipa kodi kwenye oil stations zake zilizopo wilayani KONGWA. Sasa huyo jamaa alimuandikia barua mheshimiwa Ndugai kuhusu suala la kulipa kodi ila Ndugai akapuuza. Akamuandikia nyingine kupitia mke wake ambaye ni daktari wa wilaya ya KONGWA na kumueleza walipe kodi but mheshimiwa Ndugai kwa jeuri akakataa. Huyo kijana alimuandikia barua ya kumuita ofisini kwake kumueleza alipe kodi pamoja na kumueleza kuwa atamchukulia hatua kali za kisheria. Bwana Ndugai alikuja ofisini kwake kumtukana na kumtishia maisha lakini yule kijana alisimamia msimamo wake. Kuona hivyo mheshimiwa sana alilipa ile kodi but alimuhaidi kuwa atakiona cha moto.

Baada ya mwezi mmoja tokea tukio hilo, marehemu alirudi chuoni lakini cha ajabu alikufa katika mazingira ya ajabu. Akiwa mitaa ya Gairo akitokea Kongwa kwenda Dar chuoni alikutana na roli lililokuwa kasi ikambidi asogee pembeni kulipisha hilo roli yeye akiwa kwenye gari lake lakini lile roli lilimfuata huko huko pembeni na kumgonga ila cha ajabu alikufa peke yake kwa kupasuka kichwa wakati kwenye gari kulikuwa na watu wengine wanne.

Maswali ya kujiuliza. Je ni kwanini afe peke yake? Kwanini ajali itokee baada ya kumbana mheshimiwa alipe kodi?

Nimeandika haya baada ya kumkumbuka jamaa yangu pia nawaonea huruma wale vijana waliotuma sms na kumpigia simu Ndugai na kumtukana jamaa hafai.

R.I.P STANLEY NYAMBOGA nitakukumbuka milele ndugu na rafiki yangu.

please kwa nini usiende polisi ukatoe ushahidi huo
 
.....¡¡¡¿¿¿ very sad story....!¡!¡¿¿??
 
Kweli kama hawa ndo wawakilishi wetu unategemea walete maendeleo kwa wananchi kweli? Mi nasema hapa maendeleo yatakuwa kwa sampling tu!
 
Ndugu yangu shumbi nawewe umuombe sana mola wako make huenda kuleta uzi kama huu jamvini laweza kuwa chukizo pia.
Kisheria hamna namna ya kumshitaki Ndunga kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raia mwema (mfanyakazi wa TRA) kwa ushahidi uliopo?
 
Inaonekana kusoma hakuna matokeo ya moja kwa moja na kuelimika, nilitegemea mtu wa kiwango cha masters kiwango chake cha kufikiri kiwe juu na siyo katika viwango vya KICHAWI. Nilifikiri mwisho atatueleza kwamba lorry hilo liliendeshwa na Job au lina uhusiano naye, kumbe mwelekeo wa mawazo yake ni UCHAWI?

Napata shida namna ya kuliweka neno ''Great thinker'' wakati watu wanajizuia kufikiri kwa upana badala yake wanayapa majibu maswali machache waliyoyachagua yenye mwelekeo wa kichawi. Sijui hali itakua vipi kwa wale ambao hata darasa la pili hawakufika.

Labda hata huyu Prof. Majimarefu ni Prof. wa University!!! Maana ndiko mtoa maada anajaribu kutuelekeza. Sasa na hizi elimu za kata sijui hali itakuwaje.

Ng'wale
Na wewe ni kamchezo kako nini au familia yako wanako hako kamchezo mbona unatoka povu kwa mtu kuambiwa muuaji,ndege wa rangi moja huruka pamoja na wewe pia ni family ya hako kamchezo ka kuua na kiruka na ungo
Unashangaa msomi kuwa mchawi mbona wewe ni mmoja wao na wapo wengi walikabidhiwa mikoba pamoja na kwamba wameenda shule sasa povu la nini jombaa?

Au Ndugai ni mjombako hivyo unamtetea huenda akakupa ufagizi bungeni? Polocy yenu anayetoa matusi anapata kazi endelea bro
 
This is untold story indeed! May His Soul Rest In Peace..
 
Kwani nyie mlikuwa hamjui? Mama na baba yake si walitolewa kafara 2005 na 2010 ili apate ubunge! Watu kule kwao wanamuogopa. Ukijulikana una dalili za kugombea tu ubunge, basi watoto wako au mke wako wanakufa kiajabuajabu. Sasa hivi anataka kumrithisha ubunge mtoto wake wa kike.
Kuna kipindi alimtorosha mwanafunzi wa kike akaenda kumpangia nyumba Dodoma. Serikali ikazima ishu hii!!! Mnacheza na wauaji hawa nyie!!!!
:yo😀uu! kumbe kuna mambo makubwa hivi yanofanywa na vigogo wetu! huyo ni mmoja na walau tunaweza hata kuchora mchoro! je wengine wanafanya nn, wapi na kwa nani! mh mola turehemu! hata huku kutupiatupia vipost humu janvini sasa itakua shida kwan mimacho ya wakubwa ss imeongezeka ukubwa ili iwanase wanaowakosoa na hatimae kuwafanyia ki2 Mbaya!. mhh hii n zaidi ya danger!
 
Hebu kaka naomba unisaidie kitu kidogo tu , fuatilia kama Ndugai anaendelea na hizo biashara zake na kama analipa kodi , tuletee hapa Jf , tutashughulika Naye , haya mambo yake ya ushirikina yanaishia hukohuko kwao , fanya hivyo kaka.

Mfumo wa utendaji wa serikali umekwisha kuharibu kichwa, jamaa amekudokeza Job anavyokataa kulipa kodi kwa nguvu, wewe kama ni mkusanya kodi, anzia hapo sasa kufuatilia kuzitambua biashara hizo na uone kama analipa au la! Usiendekeze uchovu wako wa kuletewa kila kitu na watu wasiokuuwa na mamlaka ya kuingia kila suala hilo! Badirika usisubiri uletewe FBI waje watuchoree mchoro wa katuni ya Ndugai ndipo uanze kumtafuta!
 
Ndugai nakuapia siku si nyingi utalia na kusaga meno, keep it on your mind, you will rember me.
 
mleta mada kwako iyo ndugai ndo alikua anaendesha halo lorry ?au
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom