Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Ilikuwaje youtube wakampa tuzo mtu anaewacheat kwa kununua viewers?
Ina maana ma TI wa youtube ni maboya wanaruhusu mtu ambae a/c yake iko verified anawaibia alafu haohao youtube wanamlipa?
Samahani lakini

Anasubiri auditing ya youtube... Hata akina Rihanna walipunguziwa views.
 
Usishangae hilo jina la mchambuzi, kihaya hilo ni jina tu kama vile mganyezi
 
Kuiga haijalishi kwann asitafute idea za kwake au mwonekano wake binafsi kwann aige, kwan nahreal ni level yake mbona kamuiga nywele[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kwa dunia ya sasa hamna jipya, una iga una kiboresha unaendelea mbele.
Kwenye kuiga nampa heko kwa kwelo bhana Platnumz
 
Kwa dunia ya sasa hamna jipya, una iga una kiboresha unaendelea mbele.
Kwenye kuiga nampa heko kwa kwelo bhana Platnumz
Cku izi upo busy sana nn maana unaingia na kusepa na rafiki yako hence mtanashati naona wamem ban tena
 
Cku izi upo busy sana nn maana unaingia na kusepa na rafiki yako hence mtanashati naona wamem ban tena
Hahaha
Nipo kaka
Sema kila uzo naukuta una repliez 200 U 3000 sasa kuniona ndio inakuwa ngumu

hance mtanashati juzi kati alikuwepo lakini naona kapotea ghafla
 
Sasa mkuu ukisema hivo labda mwana FA anakuwa mkali ki mashairi, ila muziki kwa ujumla ni pamoja na kusikika.
Hata USA kuna wasanii watakuwa wana wazidi kina Lil Wayne, lakini kwakuwa hatuwajui, hata wakisema wao ni wakali its non sense, kuvuka mipaka ni kigezo ambacho haitakiwi ukichukulie kirahisi hivo asee bob
 
Kwa hiyo wamekurupuka tu kumpa tuzo hawkujilizisha au kufanya uhakiki

Auditing huwa inafanyika kila baada ya kipindi fulani, kikifika kipindi hicho, itafanyika na ukweli utafahamika.

Ikumbukwe mwaka 2012 zilifutwa fake views 2 billions, unadhani hadi zinafika hiyo namba hakukuwa na uhakiki?
 
Mbona hata wew huyo mpenz uliyenaye umemuibia rafiki yako, dunian hakuna cha peke yako labda kaburi
 
Kuiga haijalishi kwann asitafute idea za kwake au mwonekano wake binafsi kwann aige, kwan nahreal ni level yake mbona kamuiga nywele[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hiv kuna mtu ambaye haigi wew mwenyewe ukiona jiran yako ana kitu kizuri utazichanga changa mpaka na wew ukanunue, bas ingekuwa hivo kila mtu angekuwa ana muundo wake wa gari, nyumba na n.k but kila kitu tunaigana
 
Ndio unataka kusemaje?!

Unataka Diamond akifanya show na Ali afanye show?!

Kwa hiyo toka uje mjini ujawahi kusikia Ali kafanya show?!

we itakuwa umeanza kufuatilia mziki mwaka 2009 baada ya wimbo wa Kamwambie
Nitajie show moja tu ya nje ya nchi aliyofanya Ali tofauti na zile za mombasa na zile za kusindikiza wenzake wakichukua tuzo.
Nilichokuwa namaanisha Ali hana uwezo wa kuupeleka mziki wake nje ya mipaka ya Tz na kwa maana hiyo hakuna mabadiliko yoyote aliyoutendea bongo fleva na sijaanza kumjua Ali na muziki wake leo!
Namtambua toka anaanza muziki
 
Ali alikuwepo ndio kama diamond but hakuwah kuufikisha mziki wetu mbali kama alivyofanya diamond
 
Umesoma nilichoandika lakini?
 
Hizi akili zenu sijui zinafikiria nini?
Ngoja niwaache na ujinga wenu wa ki team, alafu mwambieni king wenu apeleke mziki wake nje ya kko, uyo anaenunua viewers sasa anaangalia soko la ulaya na america,
Unawajua wamarekani Wewe? Unafikiri
 
Kwa maelezo niliyona apa inasemakana kwa kila 1000 view unatakiwa kutoa 2$

so domo hutumia milion nne za kibongo kwa view million moja so zidisha sasa kwa izo view utapata jibu ni kias gani kinamtoka kwa kununua view tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…