Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] hapa hawawezi kujibu
 
Bosi Mimi sina ushabiki ndiyo maana katika majibu yangu sijamlenga msanii yeyote ila mada iliyopo mezani.
 
Bosi Mimi sina ushabiki ndiyo maana katika majibu yangu sijamlenga msanii yeyote ila mada iliyopo mezani.
Thibitisha sasa kwa vitendo cyo maneno utuonyeshe view kabla na baada ya kununua
 
Sawa nimekuelewa! Kinachoendelea marekani ni mihemko tu ya kushindwa kura!
Subiri warudie kuhesabu hizo kura utaona nini kitatokea!
Halafu kinachoendelea kule ni tuhuma hakuna mtu amethibitisha kama warusi walihack hiyo sysytem!!

Ingawa sikukatalii moja kwa moja kama hacking haiwezekani......

Haya kunawatu wanasema saizi kokoro haitrend lakini viewers wanaongezeka kama maji, wanashindwa kuangalia video ya tekno iliyotoka siku moja na kokoro inaviewers wangapi!!
 
Naombeni kujua faida ya kuwa na views nyingi na hasara ya kuwa na views kidogo.
 
Ambacho mimi natengenezea arguments hapa ni ikiwa kununua views inawezekana au haiwezekani, hiyo ishu ya Kokoro sina uelewa nayo.
 
Jibu lako tu linatosha kutuaminisha kuwa icho kitu ata ww unatudanganya
Umeandika kama vile ulikua una hamu tu ya kupost kitu, sioni ground iliyosimamia hii post yako mkuu.
 
Mchukue huyo willy paul ambae ndio namba moja mlete tulinganishe trending yake huku bongo mkuu
 
Sasa Kama Diamond inamsaidia, Na wao wanunue Tu, Kama hawawezi wakae kimya! Kama Mganga kamsaidia Diamond kufika alipofika Na wao waende Tu, Kama hawawezi wakae kimya.....yani Kuna level Msanii ukifika labda kifo Tu ndo kinaweza kukushusha, Kama Kanumba! Otherwise hakuna ngumu kumshusha mtu!!
 
Sample size, kwa EA diamond ana fan base kubwa TZ na Kenya.
umejiuliza au umeona kituo chochote cha tv kinacheza huo wimbo wa kokoro lakini bado uko juu tu? kwa tanzania
 
Hawa wasanii wenye popularity coverage ndogo wanasumbua sana sasa madimpo nae anataka awe sawa na mondi kuwa na views sawa YouTube[emoji3],mbona vichekesho hv unapo kuwa na fan base kubwa kidunia ndivo unapata viewers wengi YouTube so madimpo akazane tu atafika aache wivu wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…