Mimi hata sishangai yeye kununua Views maana tunamjua ni mzee wa misifa.
Ila kinachonishangaza mimi ni kwanini anawanunulia VIEWS Mpaka wasanii wanaomshirikisha Kama wafuatao:
1. AY - ZIGO RMX
2.JAH PRAYZAH
3.AKOTHEE
4.AKOTHEE
5.CHEGE - ACHA WAOANE
6.ERIC OMOND ( How to be Diamond Platnumz inakimbiza views balaa , mpaka sasa zaidi ya 700,000)
Sasa mimi nauliza yeye anapata faida gani kuwanunulia mpaka watu wanaomshirikisha?
Sitaki kujua lundo la watu wanaompokea maana hao anawanunua hakuna ubishi - SHOWS ananunua pia.