Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

anajifichaficha tu na panga lake, Netanyahu tunamuona kila siku BBC & Aljazeera akiwa na makombora km yote.
 


Huo Ujumbe ulikuwa Kwa watu gani?
 
Weka namba ya simu Mtumishi ili tukutumie faster sadaka zetu za kujimaliza.
 
WATAKATIFU waishio duniani,

Unatukumbusha kutakasa mavazi yetu Ili Yesu arudipo asikuache.
Amina mtumishi
Ila mimi sijielewi, najikuta nakata tamaa tu nasema liwalo na liwe , ila mda mwingine napata hofu kuikosa mbingu, ila mwingne sielewi yani najikatia tamaa tu nikiona labd dhiki kuu nitahimili mateso ikitokea simo unyakuoni.
Yani sijielewi.
 
WATAKATIFU waishio duniani,

Unatukumbusha kutakasa mavazi yetu Ili Yesu arudipo asikuache.

Hayo ni maagizo walipewa watu flan, sio kila agizo la kwenye biblia ni la watu wote ndio maana nakuuliza walipewa watu gani?
 
Ila hii issue ya marejeo ya Yesu kuwa karibu sana unaweza kuwa kweli. Kuna ndoto 2 niliota mwaka 2024 zikihusiana na jambo hilo.

Cha ajabu, kila anga lilipong'aa kwa utukufu wa ujio wake, mimi sikufurahishwa na jambo hilo. Nilihuzunika sana kwamba sikujiandaa kwa ujio wake.

Hizo ndoto nimeshinda kuzielewa kabisa, japo ninaamini ni ujumbe fulani nimetumiwa niufanyie kazi. Eeeh Mungu nisaidie. πŸ™†
 
Ni Kweli kabisa,

Walio na asili Toka juu, huonekana wendawazimu Kwa wenye asili Toka chini kuzimu.

And vice versa is true.
Mnaenda mpaka kuuziwa udongo eti ni upako, si uchizi huo πŸ˜‚

Eti kamuona yesu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Una utakatifu gani wa kumuona yesu wewe?! Kutwa unawaza ngono, kujichua, wivu na chuki binafsi. Eti ukamuone yesu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jidanganyeni hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…