Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

Ukiambiwa ukachinjwe kama Isaka Ili sadaka Yako iwe yenye thamani utakubali?
Mimi niko tayari mtumishi. Ila kwa hapa tuwekee tu utaratibu wa kutoa sadaka ili huduma yako nayo isonge mbele.
 
kama ilivyokuwa wakati wanuhu na sodoma,watu wakila na kunywa,wakioa na kuoana,mpaka alipoingia nuhu safinani na hawakuwa na habari. ndivyo itakavyokuwa kuja kwake mwana wa adam. mathayo24
 
Ze bull dozer anafikiwa na habari hii?
 
Amina...πŸ™πŸ™πŸ™
 
Message ni clear,

Watakaponyakuliwa ni WATAKATIFU, na kukosa furaha ni Ishara kuwa mavazi Yako Yana madoa,

Pigana vita ushinde, kutoboa baada ya Unyakuo ni ngumu sana, labda muisrael wa Kuzaliwa pekee aweza vumilia.
 
yesu yuko duniani mbona akili hamna ninyi viumbe mnaangalia juu wakati yupi
Ndio, Yesu yupo duniani kupitia Roho wake mtakatifu.

Atakuja soon kunyakua WATAKATIFU wake.

Nakuombea nawe uwe mmoja wapo.
 
Mmmh weeeh ulikuwa ndani ya nyumba mara ukampata uwezo wa kuona juu mawinguni??πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
K vant Feki Ni Nyingi Sana Mitaani,,,Tuchukue Tahadhari
Ephesians 5:18

Msilewe Kwa mvinyo ambamo Kuna ufisadi, Bali mjazwe Roho.

...... mwisho wa kunukuu...

Ni Kweli nimelewa Kwa kujazwa Roho mtakatifu.

Karibu tulewe ULEVI mtakatifu.

Ubarikiwe πŸ™
 
Mmmh weeeh ulikuwa ndani ya nyumba mara ukampata uwezo wa kuiba juu mawinguni??πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Hayo ni macho ya Roho, hayana limits.

Naweza kukusaidia kuyafungua uone sawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…