Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi niko tayari mtumishi. Ila kwa hapa tuwekee tu utaratibu wa kutoa sadaka ili huduma yako nayo isonge mbele.Ukiambiwa ukachinjwe kama Isaka Ili sadaka Yako iwe yenye thamani utakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niko tayari mtumishi. Ila kwa hapa tuwekee tu utaratibu wa kutoa sadaka ili huduma yako nayo isonge mbele.Ukiambiwa ukachinjwe kama Isaka Ili sadaka Yako iwe yenye thamani utakubali?
Ze bull dozer anafikiwa na habari hii?Salaam,Shalom!!
Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni,
Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita mawinguni amepanda farasi mweupe, na farasi huyo alipita akikanyaga mawingu kama farasi apitapo Nchi kavu,Majeshi ya Malaika yalifuatana naye wakiwa pia wamepanda juu ya farasi weupe Kila Mmoja, na baada ya Mfalme Yesu kupita akiambatana na Majeshi ya Mbinguni, aligeuka na kunitizama huku usoni mwake akiwa ametabasamu.
Nilijaribu kutaka kuwaonyesha Walio karibu yangu Ili waangalie juu na kuona kinachotokea lakini sikuona aliyebahatika kuona nilichoona, nilitamani kumfuata huko aliko mawinguni Ili kufurahi na kuambatana naye lakini baada ya kunitizama, akageuka na kuendelea na msafara wa Majeshi ya Malaika na WATAKATIFU wake.
.......Mwisho wa taarifa......
Source: Niliyoyaona na kuyaandika, yapo katika vifungu hivi ndani ya BIBLIA.
(Waraka wa Yuda 1:14)
Na Henoko, mtu wa Saba baada ya Adamu, aliutoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, angalia Bwana alikuja pamoja na WATAKATIFU wake, maelfu elfu. Ili afanye HUKUMU juu ya watu wote.
Ufunuo wa Yohana 14:1-5,
1: Kisha nikaona na tazama huyo mwana kondoo, amesimama juu ya mlima Sayuni, na watu mia na arobaini na nne elfu pamoja naye, wenye Jina lake na Jina la baba yake limeandikwa katika VIPAJI vya NYUSO ZAO.
Ufunuo wa Yohana 19:11-16.
11: Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi weupe, na Yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa- Kweli, naye Kwa HAKI ahukumu na kufanya vita.
12:Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya KICHWA chake, vilemba vingi, naye ana Jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila Yeye mwenyewe.
13: Naye amevikwa vazi lililochovywa katika Damu, na Jina lake aitwa NENO la Mungu.
14: Na Majeshi yaliyo Mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi.
15: Na upanga mkali hutoka kinywani mwake Ili awapige mataifa Kwa huo. Naye atawachunga Kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadgabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi.
16. Naye ana Jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.
Ikiwa unapenda kujitakasa Ili usiachwe pale WATAKATIFU watakaponyakuliwa, fuatisha Sala hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Karibu katika familia ya Mungu 🙏
Vipi kama ikiwa ni pilau hujui msimu wa sikukuu unaendelea?Shibe ya makande
Amina...🙏🙏🙏Ufunuo 3:21
Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika KITI changu Cha enzi, kama Mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na BABA yangu katika KITI chake Cha enzi.
.... Mwisho wa kunukuu....
Usikate tamaa, ikiwa Yesu akikubali kuacha KITI Cha enzi Mbinguni, akashuka na kushinda, wewe pia usikubali chochote kikufarakanishe na mbingu, Roho mtakatifu akutie nguvu upambane Hadi mwisho na kushinda.
Ubarikiwe 🙏
Message ni clear,Ila hii issue ya marejeo ya Yesu kuwa karibu sana unaweza kuwa kweli. Kuna ndoto 2 niliota mwaka 2024 zikihusiana na jambo hilo.
Cha ajabu, kila anga lilipong'aa kwa utukufu wa ujio wake, mimi sikufurahishwa na jambo hilo. Nilihuzunika sana kwamba sikujiandaa kwa ujio wake.
Hizo ndoto nimeshinda kuzielewa kabisa, japo ninaamini ni ujumbe fulani nimetumiwa niufanyie kazi. Eeeh Mungu nisaidie. 🙆
Ndio, Yesu yupo duniani kupitia Roho wake mtakatifu.yesu yuko duniani mbona akili hamna ninyi viumbe mnaangalia juu wakati yupi
Salaam,Shalom!!
Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni,
Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita mawinguni amepanda farasi mweupe, na farasi huyo alipita akikanyaga mawingu kama farasi apitapo Nchi kavu,Majeshi ya Malaika yalifuatana naye wakiwa pia wamepanda juu ya farasi weupe Kila Mmoja, na baada ya Mfalme Yesu kupita akiambatana na Majeshi ya Mbinguni, aligeuka na kunitizama huku usoni mwake akiwa ametabasamu.
Nilijaribu kutaka kuwaonyesha Walio karibu yangu Ili waangalie juu na kuona kinachotokea lakini sikuona aliyebahatika kuona nilichoona, nilitamani kumfuata huko aliko mawinguni Ili kufurahi na kuambatana naye lakini baada ya kunitizama, akageuka na kuendelea na msafara wa Majeshi ya Malaika na WATAKATIFU wake.
.......Mwisho wa taarifa......
Source: Niliyoyaona na kuyaandika, yapo katika vifungu hivi ndani ya BIBLIA.
(Waraka wa Yuda 1:14)
Na Henoko, mtu wa Saba baada ya Adamu, aliutoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, angalia Bwana alikuja pamoja na WATAKATIFU wake, maelfu elfu. Ili afanye HUKUMU juu ya watu wote.
Ufunuo wa Yohana 14:1-5,
1: Kisha nikaona na tazama huyo mwana kondoo, amesimama juu ya mlima Sayuni, na watu mia na arobaini na nne elfu pamoja naye, wenye Jina lake na Jina la baba yake limeandikwa katika VIPAJI vya NYUSO ZAO.
Ufunuo wa Yohana 19:11-16.
11: Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi weupe, na Yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa- Kweli, naye Kwa HAKI ahukumu na kufanya vita.
12:Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya KICHWA chake, vilemba vingi, naye ana Jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila Yeye mwenyewe.
13: Naye amevikwa vazi lililochovywa katika Damu, na Jina lake aitwa NENO la Mungu.
14: Na Majeshi yaliyo Mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi.
15: Na upanga mkali hutoka kinywani mwake Ili awapige mataifa Kwa huo. Naye atawachunga Kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadgabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi.
16. Naye ana Jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.
Ikiwa unapenda kujitakasa Ili usiachwe pale WATAKATIFU watakaponyakuliwa, fuatisha Sala hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Karibu katika familia ya Mungu 🙏
Ephesians 5:18K vant Feki Ni Nyingi Sana Mitaani,,,Tuchukue Tahadhari
Hayo ni macho ya Roho, hayana limits.Mmmh weeeh ulikuwa ndani ya nyumba mara ukampata uwezo wa kuiba juu mawinguni??🤔🤔🤔
NisaidieHayo ni macho ya Roho, hayana limits.
Naweza kukusaidia kuyafungua uone sawa sawa.