Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

Sasa unafikiri kipi kitaanza
Unyakuo utokeapo, Kuna wengine hawatajua kabisa kilichotokea, na kitachoanza ni Unyakuo.

Baada ya Unyakuo, utaanza utawala full wa shetani duniani wa mpinga Kristo. Na muda huo mxhache utamalizwa na ujio wa Yesu kuja kuukomesha utawala wa shetani na kuhukumu Ulimwengu.

Sasa usiombe Unyakuo ukupite, hapatakuwa na maji Wala chakula sababu ya jua kusogezwa chini, watu watakula nyama za watu na mizoga.
 
Hakikisha wakati wa kulala unakula na kushiba
 
Hakikisha wakati wa kulala unakula na kushiba
Msabato ukimwambia habari za Unyakuo hawezi kuelewa,

Husomi hapo, imeandikwa ktk Yuda kuwa Yesu atakuja akiambatana na WATAKATIFU wake,

Ndipo ujue WATAKATIFU wafapo hawabaki kaburini, Elia na Musa pale mlimali usidhani ni hadithi, ndio uhalisia.
 
Tufue mavazi yetu,

Unyakuo u karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…