Uhalifu haujawahi kuisha kwa watu kupelekwa mahakamani. Wacha vijana wakabaji wale ‘Chuma’ tu.HILI LA KUUA PANYA ROaD SIO SAHIHI.. kila mtu asikilizwe na ahukumiwe na sheria mahakamani. Mtu akifa unaweza kumpa hatia yeyote hata kama aliuliwa kwa makosa...
Ile tume ya kuangalia Jeshi letu ifanye kazi kwa haraka..
Kuna mtoto mmoja wa kiongozi mkubwa namaanisha mzazi wake yuko kwenye utatu Mtakatifu.Tulisema humu, raia wakasema tunatetea panya road.
Vp watoto wa wakubwa masaki na oyster bay wale wabwia unga nao wameuwawa?
Tulisema humu, raia wakasema tunatetea panya road.
Vp watoto wa wakubwa masaki na oyster bay wale wabwia unga nao wameuwawa?
Bila mkono wa chuma kutumia watoto hawasiki....we unafikiri hao watoto wanaiogopa jela,jela wakienda si wanajua watatoka tuKuna mtoto mmoja wa kiongozi mkubwa namaanisha mzazi wake yuko kwenye utatu Mtakatifu.
Ni mtukutu sana na lisumbufu, angekuwa Uswahilini naye angepigwa risasi kwa tabia zile.
Uhalifu pia hauishi kwa kuuaua watu....Uhalifu haujawahi kuisha kwa watu kupelekwa mahakamani. Wacha vijana wakabaji wale ‘Chuma’ tu.
Sitetei uhalifu,vnakataa POLICE kiruhusiwa kufanya KAZI ya mahakama.
Hapa naona unaingiza watoto wa hao unaowaita wakubwa ili kutafutia huruma wahalifu.
Hao unaosema wanabwia unga wamevamia sehemu na kukata watu mapanga?
Waelezeni watoto wenu na kaka zenu njia sahihi za kujipatia kipato, huwezi kutafuta kipato kwa kuua wengine kinyama na kuwatia watu makovu ya kudumu halafu utegemee huruma.
Huruma hizi zitatuzalia magaidi huko mbeleni.
Huyu hajawahi kukutana na hawa jamaa chobingo wakaanza mtia mapanga bila kosa na kumsaula mali zake. Anakuja kujifanya mwanaharakati. Huyu kama vipi na yeye auliwe na polisi unaweza kuta anashiriki uhalifu huu wa panya road why anakerekwa kusikia unatokomezwa?!Wao wanapojeruhi, kuiba na kuuwa wanakuwa na inform yoyote?
Kama hayajakukuta hauwezi kujua madhara makubwa ya hawa mbwa.
Hawa wanaowatetea panya road natamani siku wakutane nao watalelewa. Me wamempora simu shangazi yangu, mama mtu mzima wa miaka 70 wamempiga na bapa za panga alfajiri tu asieee .
Hapa naona unaingiza watoto wa hao unaowaita wakubwa ili kutafutia huruma wahalifu.
Hao unaosema wanabwia unga wamevamia sehemu na kukata watu mapanga?
Waelezeni watoto wenu na kaka zenu njia sahihi za kujipatia kipato, huwezi kutafuta kipato kwa kuua wengine kinyama na kuwatia watu makovu ya kudumu halafu utegemee huruma.
Huruma hizi zitatuzalia magaidi huko mbeleni.
Tuache police wafanye kazi yao, tumewasema sana hapa, na hao police wanawajua vizuri hao vijana na wao ndio wanaowafuga. Tunaihitaji mfano wa maangamizo ya kweli Kwa hao panya road ngedere, Dj Santana waue waue, hakuna kulea ujinga. kibiti , rufiji na mkuranga mbegu yake ndio huanza kama hao panya road.Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.
Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.
Sasa police wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama.
Misiba ni mingi mitaani. Inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.
Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai,. Upelelezi wa kutosha umefanyika ?
Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia .
Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.
RAIS SAMIA utakuwa na mwisho mbaya.
Police wamegeuza KITONGA Dar kuwa machinjio ya binadamu.
Hata familia zenu zina vijana wa hovyo wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road.
Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.
NB: Mimi si mhalifu, ni mtumishi wa umma safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, hudhuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda Uswahilini Tandika na Buza ni hudhuni.
Walikua wameshaanza kuota mapembe na kuuwa watuHabari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.
Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.
Sasa police wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama.
Misiba ni mingi mitaani. Inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.
Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai,. Upelelezi wa kutosha umefanyika ?
Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia .
Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.
RAIS SAMIA utakuwa na mwisho mbaya.
Police wamegeuza KITONGA Dar kuwa machinjio ya binadamu.
Hata familia zenu zina vijana wa hovyo wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road.
Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.
NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, hudhuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda Uswahilini Tandika na Buza ni hudhuni.
Pole sana, bt kuua so Suluhu, JAMII na Serikali ,wazazi tukae kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa changamoto hizi.Hawa wanaowatetea panya road natamani siku wakutane nao watalelewa. Me wamempora simu shangazi yangu, mama mtu mzima wa miaka 70 wamempiga na bapa za panga alfajiri tu asieee .
Sasa nadhani watu hawajui ubaya wa hawa vijana hadi wakutane nao kwenye eneo la tukio.
Uhaini ni kutaka kumpindua Raisi aliyepo madarakani hii inakua nje ya makosa ya waliyokamatiwa...Kuua siyo ishu nzuri, wawakamate na kuwapeleka Mahakamani wakienda jela wakafanyishwe kazi ngumu maisha wapewe kesi za uhaini tu (Treason)
Kesho yako au ya ndugu yako huijui.Wewe kama kijana unajua vizuri operation linaloendelea sasa ni kuwasaga 'panya road' halafu wewe bado unakaa maeneo hatarishi usiku mkubwa eti unavuta bang.
Polisi haiwezi kutofautisha kibaka na mvuta bangi endapo utakutwa usiku sehemu isiyoeleweka na ukaamriwa ujisalimishe kisha ukatoka nduki lazima risasi zikuhusu mkuu.
Siungi mkono mauaji ya aina yoyote yale ila kipindi hiki cha operation maalum tujihadhari sana na kuzurura usiku pasipo sababu inayoeleweka.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app