Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Panyarodi acha wauliwe kabisa,hawafaikabisa, wamemuua binti yetu pale Kawe ukwamani, waliwajeruhi watu wengi maeneo ya kunduchi na tegeta, jamaa mmoja walimkata mkono alikuwa dukani kwake
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Wafunzeni watoto wenu kabla ya kufunzwa na ulimwengu.
 
Narudia kushauri waacheni Polisi wafanye kazi yao.
Hawa watoto wenu wameua na kujeruhi watu vibaya sana.
Kaeni kwa kutulia....
Lazima mjue Serikali yoyote makini haitakubali...
Kwanza unasema wanavuta bangi...bangi inaruhusiwa kuvutwa kwa sheria ipi?..hapo hapo unaomba procedure ifuatwe....procedure ipi kwa wavuta bangi.
Katika hili Mungu wabariki PT.
Yan kiufupi anamaanisha si jukumu la polisi kuyoa adhabu, ni jukumu la mahakama, sheria ndo inataka hivyo, kwenye sheria huwa wanasema ni vyema kuwaachia huru watu mia waliokuwa na makosa kuliko kumuadhibu mtu asiye na hatia, yani polisi wanapoamua kuchukua kundi la watu pasipo kufanyika uchunguzi ni dhahiri kabisa kunawatu wasio na hatia wataonewa, istoshe kama mtu amekamatwa anavuta bangi apelekwe maakamani na kuhukumiwa kwa kosa la kuvuta bangi na si polisi kujichukulia amri ya kuwaadhibu kwa kuwaua kitu ambacho si jukumu la polisi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Tuletee picha hapa za huo unaouita unyama wa polisi ili tujadili. Mimi mtaani kwangu sijaona huo unyama. Kama ni polisi kukamata hao vijana na kuwapeleka vituoni ni unyama basi itakuwa ajabu! Hawa Panyaroad mnawaita watoto lakini genge hatari la kihalifu. Mnadhani magenge hatari ya kihalifu kama ya kina Escobar the King of cocaine yalianzaje? Acheni dola ifanye kazi
 
Polisi huwa wanawafaham wahalifu sana tu ila haki za binadam ndo huwa zinawarudisha uraiani wahalifu ambao ni tishio sana, zamani wahalifu wa kutumia bunduki walikua wakipelekwa mahakamani wanatafuta mawakili wanachezesha wanatoka wanaendelea kushika bunduki, Arusha risasi zililia sana, Kigoma kila siku bus zilitekwa, kahama sheli zilivamiwa sana enzi hizo, Ila baadae police wakaanzisha operesheni kila mtumia bunduki wakimkamata utaskia kafa baada ya kujaribu kutoroka na sasa hivi hali ni shwari.

Kwahiyo hata hao panya rodi wameshakamatwa sana lakin wakipelekwa mahakamani wanaenda kufungwa kifungo cha nje miez 3 unamuona Yuko tu mtaani na alikamatwa na ushahidi wote baada ya muda wanarudi kupora na kuua watu tena, panya rodi hawajaanza leo hapo daslam na waasisi wanajulikana kabisa acha wafyekwe ili tuwe salama, hakuna kitu kinauma Kama unatafuta kwa jasho alafu mtu anakuja kukupora, kukusababishia ulemavu au kukuua kabisa ili tu akunyang'anye mali yako
Acha wafe tuu...wazazi wadhibiti watoto wao kukaa vijiweni,wawatafutie kazi za kufanya
 
Bila mkono wa chuma kutumia watoto hawasiki....we unafikiri hao watoto wanaiogopa jela,jela wakienda si wanajua watatoka tu

Ova
Tena hawaiogope jela ht kidogo,utawaskia wanasema kule Kuna mabraza wa kitaa tukifka tunaishi kistafu tu,the only soln ya Panya road ni chuma tu!hawaelewi,hawaskii,wazazi wao ndo mabingwa kuwatetea Kwa Kila Hali,sisi wa uswahilini tunajua kadhia Yao...kiukweli acha wanyooshwe labda patapoa
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Katika utangulizi wa PGO ya polisi ya Tanzania inasema hivi
Nukuu
i. INTEGRITY - Members will always maintain personal integrity in
all that they do, at work and at home.
ii. EXCELLENCE - Members will always pursue excellence for
themselves and the Force.
iii. FAIRNESS - Members will always treat all persons fairly.
iv. PRIDE - Members will take pride in themselves, the Force, and
their profession and shall always maintain their honor.
v. HONESTY - Members will always be honest; honest to
themselves, to their supervisors, and to the public.
vi. SERVICE - Members will always endeavor to provide the highest
level of service.
vii. COMPASSION - Members will always be compassionate.
......................................................................................
Operative Principles
2. Every member of the Force is duty bound at all times to respect rights and freedoms
as laid down in the Constitution of the United Republic of Tanzania 1977, Cap. 2 R.E. 22002
and the Constitution of Zanzibar 1984 (together hereinafter referred to as the “Constitutions” and
any other legal instruments in force. Any deviation from that principle by any police officer
against any person cannot be accepted except where:
(a) that person infringes the fundamental rights and freedoms of others; and
(b) it is the only way to protect the fundamental rights and freedoms of others.
Even in such exceptional cases, a police officer should ensure that such infringement
of those rights and freedoms is kept to a minimum.
3. Every member of the Force should take note that laws and regulations change from
time to time and therefore every effort must be made to promptly update oneself with such legal
development in the country particularly those that affect their day-to-day activities. The
Police headquarters will to the extent possible ensure Commanding Officers are adequately
updated on all legal developments in the country that affect police work.
Independence within the criminal justice system
4. Every member of the Force is required to take note of the principle of the
independence of the judiciary in the execution of his duties. The observation of the existing
demarcation of the responsibilities of the three main branches of the state helps to sustain
harmony and avoid unnecessary conflicts between the Force and other Government
functionaries.
6. The Force is vested with a limited number of quasi-judicial powers. Such powers
include the compounding of some offenses, admitting suspects to police bonds, issuing
warnings and notifications to traffic offenders, and revocation of lawfully issued permits or licenses
such as arms licenses and driving licenses. In exercising these powers every care should be taken
as decisions made thereunder may be contestable in legal proceedings. The legal rights and
remedies available to people affected by the exercise of the police quasi-judicial powers should
be adequately protected.
12. Confidentiality of informers and crime information is the essence of the public’s
confidence in cooperating with the police in the maintenance of law and order. No police, the
world over has ever been able to achieve much without properly endorsing this most important
public’s confidence in its members. Commanding Officers and all senior officers should
endeavor at ensuring the observation of this integral principle of police work.
Guiding principles regarding police action
13. Protection of life and property is the essence of the Force and this is realized through
the enforcement of the laws of the land without any discrimination. It is therefore the
responsibility of every member to guarantee members of the community of their equality before
the law irrespective of life status socially, politically, or economically by treating every person
with due dignity and respect.
14. Objectivity in police action should always be a guiding lead to any member as it
ensures fairness and impartiality. Any decision for police action by any member should be
reasonable and should avoid being carried away by any discriminatory factor such as nationality,
tribe or ethnic origin, political opinion, color, sex, race, language, religion, or social status.
15. Torture and any inhuman or degrading treatment to any person by any member of the
The force under any circumstances is totally intolerable. In any dealings with the public, every
member should accord deserving respect and dignity as required by the circumstances.
16. The use of force by any member of the Force will only be acceptable to the extent
considered necessary to achieve a legitimate objective. Every member shall therefore apply force
in performing his duties only when absolutely necessary and only to the extent needed to attain
the lawful objective.
...............................................................................................
Specific cases - Police investigations
19. The purpose of police investigations is generally to unveil all facts relating to
the information of a reported or imminent crime incidence for appropriate decision and action. Civil
matters are not a concern of the Force unless they are a crime incidence appendage and as such
civil matters should not be subject to police investigations. In some cases, police are directed by
courts of law to oversee the execution of a court order or decree arising out of civil matters to
ensure law and order. In any case, civil matters brought to the police for investigative action shall
courteously be redirected to the courts where remedies can be obtained. Every member of the
Force should therefore desist from involving in investigations in civil matters.
20. The guiding principle in all police investigations should be the presumption of
innocence. Basing police investigations on any other presumption will normally not lead to
uncovering the truth of the matter under investigation and hence the delivery of appropriate
justice.
21. Crimes are actions defined as such by the laws. Police investigations must adhere
strictly to the relevant laws. It is emphasized that wherever police investigations involve
vulnerable groups of the community the applicable laws should strictly be adhered to.
22. Interviews and interrogations of witnesses, suspects, and accused persons shall be
carried out in strict compliance with the relevant guidelines in these orders. It is hereby emphasized
that records of all such interviews and interrogations should be appropriately kept.
23. Rights and specific privileges of witnesses, suspects, and accused persons shall at all
times be protected.
24. Every member shall render any necessary support and assistance to victims of crimes.
25. Any needs for translators and interpreters arising during police investigations shall be
adequately addressed.
Specific cases - Arrest/ deprivation of liberty by the police
26. Arrests involve the deprivation of a person’s freedom and liberty and as such shall be
carried out with all due care and diligence. All guidelines relating to arrests stipulated in these
orders shall be strictly adhered to.
27. Every member shall observe the right of an arrested person to be informed of the
reasons for his/her arrest in a clear language subject to obtaining circumstances.
28. The safety of a person under the custody of police is the responsibility of the arresting
officer and any other officer under whose charge the arrested person is placed.
29. The rights of communication of an arrested person as detailed in these orders shall be
strictly observed by all members of the Force

Specific cases - Respect for private life and other rights
30. Members of the Force are strictly prohibited from infringing any person’s rights to
private and family life including homes and correspondences. Infringement of this right is only
acceptable where there exist specific lawful grounds and even in such cases, it is emphasized that
the infringement must be kept to a minimum.
31. The rights of an individual include his personal data and as such the collection,
storage and use of such data by any member of the Force shall be limited to what is necessary for
the attainment of specific lawful objectives.
32. Every member of the Force shall at all times respect an individual’s right to
freedom of opinion, conscience, expression, peaceful assembly, movement, and peaceful
enjoyment of property. Infringement of these rights will be acceptable only in specific legitimate
circumstances laid down in the laws and amplified by these orders.
Specific cases - Use of Firearms
33. The use of firearms tends to conflict with the essence of the Force of protection of
life. It is for this reason that every member of the Force is called upon to attain the highest
degree of proficiency in the use of firearms and the orders regulating such use.
34. It is the responsibility of every Commanding Officer and senior officer to ensure
members under their charge are appropriately instructed on the correct use of arms in the
performance of police duties.

*Wajielekeze katika mwongozo wao huo kwa kuzingatia sheria bila kutumia mwanya wa uharifu kufanya kinyume chake.
 
Acha wafe tuu...wazazi wadhibiti watoto wao kukaa vijiweni,wawatafutie kazi za kufanya
Yeah kweli sumu ya mbu haiui kunguni, huwezi kumbadilisha panya rodi kwa kumtandika kama mtoto wa darasa la 7 hawezi kubadilika.
Kawaida ya polisi huwa wanatumia nguvu kubwa kutokana na ukubwa wa tatizo ndo maana walianza na kuonywa ila bado mitaani watu wanaporwa maana yake hawakusikia onyo na Wala onyo haliwaogopeshi tena kitu cha muhimu ni kuwaua ili mmoja akiona rafiki yake aliepora nae jana leo ni marehemu ile inaweza kuwa ujumbe tosha kwake wa kubadilika ikiwezekana akimbie mazingira hayo aende sehem nyingine akajifunze ujuzi halali wa kujiingizia kipato na hiyo ndo itakua suluhu
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Tulia wewe ule kiminyo Ili kukomesha panya road..

Kwenye oparesheni yeyote huwa wanaingia waliomo na wasiokuwemo so relax Polisi wafanye Kazi Yao..

Imgjarimu kiaje kwa sababu tayari ni Rais hata asipoendela tena historia imeshamuweka kwenye madaraka ya Juu kabisa..

Yaani Kawa VP na Kawa Rais shida iko wapi tena?
 
Katika kipindi hiki kama huna issue Acha kukaa vijiweni kaa kwenu!

Kwa matukio waliyokuwa wanafanya panyaroad naunga mkono ukikamatwa Tu Shaba iwe ni Halali yako.

Hakuna nchi ujambazi na wizi ulimalizwa Kwa watu kufungwa Acha kujidanganya. Ujambazi humalizwa Kwa kupigwa risasi. Waache police wafanye KAZI Yao.

Kama Una ndugu yako ni panya road mwambie atubu kinyume na hapo jiandaeni Jamii imfunze.

Huu muda unapoteza kuandika humu utumie kuwaasa ndugu zako panya road wajitafutie pesa Kwa njia Halali kinyume na hapo utaendelea kuleta lawama zako Kwa Jeshi la police.
naunga mkono kwakua hao hao waliodakwa wengine walishafungwa wakatoka sasa kama mtu kaenda jela katoka anaendeleza uhalifu si bora auliwe tu kuwatetea tunatafta mabalaa baadae bora wasombwe tubaki na vijana fresh wasio na harakati mbovu
 
Yeah kweli sumu ya mbu haiui kunguni, huwezi kumbadilisha panya rodi kwa kumtandika kama mtoto wa darasa la 7 hawezi kubadilika.
Kawaida ya polisi huwa wanatumia nguvu kubwa kutokana na ukubwa wa tatizo ndo maana walianza na kuonywa ila bado mitaani watu wanaporwa maana yake hawakusikia onyo na Wala onyo haliwaogopeshi tena kitu cha muhimu ni kuwaua ili mmoja akiona rafiki yake aliepora nae jana leo ni marehemu ile inaweza kuwa ujumbe tosha kwake wa kubadilika ikiwezekana akimbie mazingira hayo aende sehem nyingine akajifunze ujuzi halali wa kujiingizia kipato na hiyo ndo itakua suluhu
Kwanza hao panya road wengi wao wazazi wao wanawakingia kifua ,wanawajua ufirauni wao na ndo wa kwanza kuwatolea dhamana wakikamatwa pia,Sasa kwa hili linavoendelea,mzazi atakua mlinzi wa kwanza kwa mwanawe kuhakikisha hatoki,hatembei na havuti bangi hovyoo!
 
IMG_0489.jpg
 
Back
Top Bottom