Unyama uliofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama

Yaani wananchi wawapige police mawe halafu police watulie tuu wapigwe. Wananchi walidanganywa wafanye fujo ila walitulizwa ghasia zao


Utii bila shurti ni muhimu sana.

Na wako mitaani wanapiga

Your browser is not able to display this video.
 
Unakuta Askari anamuuwa mtza kwa maslai ya mtawala ambae akipata madaraka awakumbuki kuboresha maslai ya Askari.
Askari aliyeiva na professional katu hawezi uwa au umiza mtu
 
Kesi ni facts mkuu,na utapata ushindi kama una facts. Hata kama ni baada ya miaka tano!
Mbona kesi zimeshapelekwa huko zinakoshughulikiwa sio kwa hawa wanaofurahia kuwatesa raia

Your browser is not able to display this video.
 
Ukiona Askari anaishi maisha magumu Sana baada ya kustaafu usimuonee huruma huyo analipwa matendo yake dhidi ya dhuluma alizofanyia watu alipokuwa kazini
 
Miaka ile ukiwa ughaibuni huoni Aibu kujitambulisha watokea Tanzania ila tuendako tutapigwa muhuri kama Wanigeria na Wasauzi
 
Watupe yanayojiri Mtwara naskia wakorofi wa huko wanabeba silaha tofauti na wakorofi wa Zanzibar kina Haji Ameiri.
 
Weka akiba ya maneno ,mwenzako akinyolewa zako tia maji, vitu vingine soma kisha uviache, hapo huwezi jua nani anamakosa ww kaa kimya tu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Leo ACT wazalendo wanataka kuwasaliti wafuasi wao! Mungu anawaona.
 
Weka akiba ya maneno ,mwenzako akinyolewa zako tia maji, vitu vingine soma kisha uviache, hapo huwezi jua nani anamakosa ww kaa kimya tu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo ukae kmy, vitu viko wazi kabisa. Wapemba ni wakorofi sana, wasipothibitiwa ipasavyo hawakawii kulipua
 
Kama walitaka kivuruga amani tuingie vitani wanastahili kukunyugwa vilivyo
 
KWA maoni yako huyo mzee aliandamna?? Akwilina akifanya kosa gani? Nilipi kosa la Ben Mungu muweza akupe somo hayo makucha ya utawala ya mkute mmoja ya wanafamilia yako Kisha urudi hapa kuandika huu uharo
Watu wamepoteza watoto wake waume Wazaz Kisha waleta ungese hapa
 
Amevuna alichopanda, nani alimwambia afanye fujo, amlaumu aliemwambia akafanye fujo.
Ile risasi iliyotoa roho ya Akwilina alifanya kosa lipi nyinyi ni MADHALIMU hizo damu hamtokua na sabuni za kuzioshea
 
Ile risasi iliyotoa roho ya Akwilina alifanya kosa lipi nyinyi ni MADHALIMU hizo damu hamtokua na sabuni za kuzioshea
Yule mwanafunzi alipatwa na risasi bahati mbaya, ila chanzo ni maandamano ya chadema. Ndo maana wana kesi.
 
Utawala katili wa kinyama kama huu unatakiwa kulaaniwa popote duniani
 
Mwalimu nyerere ANGEYAONA HAYA HAKIKA ANGELIA KILIO KIKUU.

NCHI ALIYOIPIGANIA KWA DAMU NA JASHO WAO KWA WAO WAMEANZA KUCHINJANA KAMA WANYAMA.

Jiwe ni Mtusi ndio maana katili watanzania tulizoea kuishi kwa upendo.
Jiwe analipeleka wapi hili Taifa?
Mi simkubali hata kidogo nasikia alikuwa dikteta hivihivi, pia katuachia katiba mbovu sn.
 
Pole zake, ajifunze kwa nini akina Zitto na Seif huwa hawaumii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…