Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi

Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe

Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe waliowadhibiti Polisi waliotaka kumuua Mbowe
 
Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM inayotegemea polisi ndiyo iliyokufa.

Chadema na wapinzani wengine wako imara zaidi sasa kuliko hata ilivyokuwa 2015.

IMG_20200228_230909.jpg
 
Jamani askari wanatumwa, mara nyingine bora kuchukua takwimu za wanaowatuma ndo wawekewe vikwazo kama yule wa Dar.
 
Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi

Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe

Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe waliowadhibiti Polisi waliotaka kumuua Mbowe
Hii habari imekaa kishabiki sana.
 
Kuna kitu nakitafakar hapa..kuna mambo yanahitaji kutafakar..moja huenda police wetu wameona wananchi wamekua wakimya kuzd sasa ..wanataka waamuke kwa kutumia mbinu ya namna hii.

Pili huenda police hawajapata elimu ya kazi yao juu ya nini maana ya democrasia na wajibu wao nini!

Niwambie polisi kuna matukio mnafanya yanaamusha hisia hasi za raia...Fikilieni kesho yenu mambo yakiharbika hata ndg na marafiki zenu watakua hatarn pia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom