wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Sio yeye tuu subiri 2021 aapishwe tena uone hata huko chamani wote wanaojifanya ccm ndio yao na wote watakao kuwa walichukua form y urais kilichopo ni kuwa kuwaficha wote ili kama 2025 hataachi kama wanavyomkadiria ikute hakuna mwenye jeuri ya kumuuliza.yaani yale ya drc kongo kwa kabila au rwanda na uganda yatafanyika hapa kwetu
Huyu mzee naye siku zake ccm zinahesabika