Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Jamaa kakazana mm mlinzi wake hahahaaaaaa yaani kuna watu hawajielewi kabisa.
 
Chilemba wamela pamputi,
Huyo askari anayeongoza hao wengine anaonekana kuwa ni tutusa sana. Halafu wanapenda kutumia nguvu bila hata ya kufanya simple and quick assessment kama nguvu yao inajitosheleza,

Ona askari wote watatu walivyoshindwa kumuondoa hiyo bodyguard.
Nguvu ya askari ni pamoja na eneo la Diplomasia na Ushawishi. Wanashindwaje kutoa maelekezo kwa utulivu?
 
Ushauri wangu upinzani waandike barua kwa Mkuu Wa jeshi LA polis kuelezea uhuni unaofanywa Na jeshi LA polis kwa mifano.pia waitishe kikao Na waandishi Wa habari juu ya uhuni wanaofanyiwa Na jeshi LA polis...
 
bagamoyo, Acha kupotosha umma, kuna kipi kibaya kwenye hii clip?

Acheni kutafuta huruma za hovyo , chama kinawafia badala ya kuimarisha chama mnapiga majungu na kutafuta huruma, hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kinaniudhigi kama hivi... jitu limetoka umasaini huko linakuja kuleta ubabe uchagani linazuia kiongozi alochaguliwa na wenzie kijijini kwake asiongee na wanakijiji wenzie!! Linamparamia kumkamata na kumsweka ndani bila jinai yoyote.

Hii itajaleta hali mbaya sana Siku za usoni maana sehemu nyingi zenye ugaidi ulianza ukandamizaji kwanza!!
 
Hakuna kitu kinaniudhigi kama hivi... jitu limetoka umasaini huko linakuja kuleta ubabe uchagani linazuia kiongozi alochaguliwa na wenzie kijijini kwake asiongee na wanakijiji wenzie!! Linamparamia kumkamata na kumsweka ndani bila jinai yoyote. Hii itajaleta hali mbaya sana Siku za usoni maana sehemu nyingi zenye ugaidi ulianza ukandamizaji kwanza!!
Sentesi yako ya mwisho mmhhhhh!!!!.Mimi na weye na wengine tunyanyuwe mikono yetu juu kumuelekea ALLAH tumuombe atujaalie amani,upendo,mshikamano,afya na moyo wa kusaidiana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu upinzani waandike barua kwa Mkuu Wa jeshi LA polis kuelezea uhuni unaofanywa Na jeshi LA polis kwa mifano.pia waitishe kikao Na waandishi Wa habari juu ya uhuni wanaofanyiwa Na jeshi LA polis...
Hakuna kama Mungu(ALLAH),aliyeumba ardhi na mbingu
Kwa Wakiristo huu ni wakati wa kwa Resma
Kwa Waislaam huu ni Mwezi wa Rajab.
Rai yangu...tuzidishe maombi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wanaonewa sana na madc haiwezekani watu wazima kama hao waende kuvutana na mwenyekiti wa chama ambacho tumeambiwa kiko ICU
 
Picha mbovu inaanzia hapa , mshauri mkuu wa mtukufu jiwe meko ni Daud Bashite na huyo Daudi Bashite yeye anashauriwa na Le mutuz kubwa jinga la Taifa na Cyprian Musiba yule mbwekaji wa CCM, kupitia minyororo hii unapata picha kuwa Mtukufu meko jiwe anapotoshwa na huo mfumo wa ajabu na wa vilaza wanaomshauri
Hashauriwi wala hapotoshwi mkuu ni deals take hizo wao wanafata maagizo ya jiwe.....
 
Sentesi yako ya mwisho mmhhhhh!!!!.Mimi na weye na wengine tunyanyuwe mikono yetu juu kumuelekea ALLAH tumuombe atujaalie amani,upendo,mshikamano,afya na moyo wa kusaidiana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna amani bila haki mkuu.....haya manyanyaso ya ccm na kiongozi wa juu anayechochea na kuagiza polisi waue tu na wasichukuliwe hatua yoyote ndo matokeo yake haya.....
Hii nchi ina laana Mange alihamasisha kitu cha muhimu sn na alisema tusipofanya leo huyu mhutu ataendelea kufanya Mambo ya hovyo zaidi kwa watz.....
Kumbukeni yote yanayotokea aliyaona MBEBA MAONO TUNDU LISSU NA KUYAKEMEA SANA SOTE TUNAKUMBUKA
 
Haya mambo yanaudhi sana. Nashauri jeshi la polisi litumie weledi na busara wanapotekeleza maagizo ya kisiasa.
Flag_of_Tanzania.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom