Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Nchi iko mikononi mwa muuaji. Hivi kwanini asifute vyama vya siasa kuliko kuendelea kuwatesa na kuwaua wapinzani?


Sent using Jamii Forums mobile app
Picha mbovu inaanzia hapa , mshauri mkuu wa mtukufu jiwe meko ni Daud Bashite na huyo Daudi Bashite yeye anashauriwa na Le mutuz kubwa jinga la Taifa na Cyprian Musiba yule mbwekaji wa CCM, kupitia minyororo hii unapata picha kuwa Mtukufu meko jiwe anapotoshwa na huo mfumo wa ajabu na wa vilaza wanaomshauri
 
CHAMA kimekufa mnasumbuka nae nn makalio nyie...chama kilichokufa ni kile kinachonunua wanasiasa pumbav

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wanatumia pesa za walipa kodi kuwanunua wana siasa ni matumizi mabaya ya kodi, hii nunua nunua wapinzani ni mradi uliobuniwa na akina polepole na wenzake kwa nia ya kupiga pesa za umma kiulaini
 
Kuna siku watu wataingia msituni kwa ajiri ya upuuzi unaofanywa na jeshi la polisi,,mambo ya kipuuzi yanayoendelea ni yakukemea.
...
.
Ni aibu askar wa kitanzania kutumiwa kama fimbo yakukandamiza democrasia,

Nchi iko pabaya sana..si mwana chadema wala ccm ila inavyoonekana wazi tuko enzi ya utawala wakidikteta,
Na hili si lakupinga..

Yani chama cha ccm tu ndicho kinaruhusiwa kufanya mikutano,wengine wakifanya wanakamatwa..ni upumbafu wa khari ya juu...
 
Erythrocyte

Nakuona ndugu unahangaika sana siku nyingi kusema ila kwa bahati watanzania karibu asilimia 90 tuna upumbavu mkubwa hatujui haki zetu wala tunachokipigania...leo hii kikundi cha watu wachache wametufanya mazezeta na disi tunaangalia...vizazi vijavuo vitatuhukumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa askar wetu wamefikia kiwango kibaya na haya yote ni kwasababu wanatumiwa na wanasiasa wa chama tawala kukandamiza demicrasia..binafsi nimeumizwa sana kuona taifa langu linarudi nyuma kidemocrasia...nilitegemea kizaz chetu kiwe chenye uhuru wakujieleza,haki na democrasia itawale,
Lakinni aibu,
 
Wapinzani wajue kampeni zikianza hii ndio hali watayokutana nayo, wakiwa waoga kwa polisi wameshindwa uchaguzi, vyema wakajiandaa kisaikolojia mapema, na wananchi nao vilevile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la haya yote ni kuendelea kuwatisha wananchi wasiwaunge mkono wapinzani, halafu wafanye propaganda kuwa wananchi wamewapuuza wapinzani. Hizi mbinu zinafahamika sana.
 
Nilichogundua watanzania ni wapole na wakati mwingine upole unatufikisha pabaya...kilichokuwa kinatakiwa ilikuwa kwamba huo umati wa watu wote kwa pamoja walipaswa wawavamie hao polisi wawashambulie wawanyang'anye hizo silaha,

hilo gari walitie kiberiti..atakaye kufa afe atakaye pona apone maana serikali ndiyo inayataka hayo yote na kama watanzania hatutakuwa wavulivuli kama hao walivyofanya basi ipo siku nchi yetu itaingia kwenye machafuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…