Huyu mzee naye siku zake ccm zinahesabika
Duu ni hatari sipati picha uchaguzi ujao kama busara haitatumika damu itamwagika tu
Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani unavyopendaga kukuza habari? sasa huyo mbowe anakipi sasa hivi chakumuulia eti walitaka wamuue mbowe kwa lipi sasa kaongea mautumbo yake alitakiwa akajibu kituoni sasa unaleta maneno ya kipuuzi eti auliwe na nani sasa acha ujinga na ushabiki wa kilimbukeniBado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi
Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe
Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe waliowadhibiti Polisi waliotaka kumuua Mbowe
sasa kama chama kina viongozi wanaonunulika kama kweli wana nunuliwa ni chama hicho au kikundi cha wahuni kinachosubri pesaCHAMA kimekufa mnasumbuka nae nn makalio nyie...chama kilichokufa ni kile kinachonunua wanasiasa pumbav
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia vibaya sana akili yakoZipeleke ubalozi wa Marekani na nyingine mtumie Lisu huko Ubelgiji azisambaze kwa jamaa zake.
Mkuu usiishie tu kusema' Duh'. Comment kilichokugusa baada ya kuona hiyo video, na hapo moyo wako utabaki na Amani. Mungu siku zote ni wa HAKI.Duh.. !.
P
Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa hana kitu,mishuzi inayowatoka kila akiongea ya nini?Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako Mbowe akiambiwa akaripoti kituo cha polisi atagoma?Ni kosa kuzuia polisi kufanya ukamataji. Huyo mlinzi wa Mbowe anapaswa kufahamu hilo kwamba hana mamlaka ya kuzuia bosi wake asikamatwe.
Kutokuelewa majukumu kwa mlinzi kumeongeza vurugu.Kwa akili yako Mbowe akiambiwa akaripoti kituo cha polisi atagoma?
Kuna haja gani ya kumkamata kama kibaka? Yule ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio kibaka yule.
Tufike mahala tuheshimiane wakuu, hizi ajira na kazi ni vitu vya kupita, kuna siku ya kustaafu na kurudi kijijini kwenu au kibandani kwako kufuga kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
Kwa hiyo wenye sumu ndio wanaotakiwa kuuliza?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
bagamoyo, Acha kupotosha umma, kuna kipi kibaya kwenye hii clip?
Acheni kutafuta huruma za hovyo , chama kinawafia badala ya kuimarisha chama mnapiga majungu na kutafuta huruma, hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo huelewi, unahisi yule mlinzi haelewi udharimu wa polisi?Kutokuelewa majukumu kwa mlinzi kumeongeza vurugu.
Hakuna aliye juu ya sheria. Ukiwa Mbunge huna kinga dhidi ya vyombo vya dola kufanya kazi yake. Tutii sheria na mamlaka zilizopo, simple as that.