Lakini uwongo mbaya hao wana haki ya kuzodolewa,yaani wamekaa South miaka 20 wamepandishwa ndege bure but hawana Tsh 700 ya kuwafikisha hapo kariakoo ili wasogee kwao Magomeni na Manzese kwa miguu ?Unyanyapaa umeanzishwa na serikali, haikuwa busara kumrudisha mtu aliyetoka nchini zaidi ya miaka 20 na ukamtelekeza airport ambaye hana hata nauli ya daladala,hujui ataanzia wapi, hana mtaji, hana makazi, hana ramani yoyote hiyo ni hekima kweli?
Ina hii akili ya CCMWashukuru hata kurudishwa hadi Dar bure.. hao walishashindwa kurudi wenyewe wakawa wanaomba watu wawarudishe. Serikali imefanya jambo la maana vinginevyo wasingeweza kurudi tena Tanzania na kuishia mikononi mwa wazulu ambao hawawataki kabisa. Pia kusema walikuwa wakituma pesa nyumbani wajengewe inahusu wachache mno. Wengi pale walikuwa hawawasiliani na familia zao kabisa. WAVUNE WALICHOPANDA.
Wewe huna shukrani na roho mbaya sanaIna hii akili ya CCM
Yaani umtoe mtu aliyetoweka nchini zaidi ya miaka 30 halafu umtekekeze airport? Si Bora wangewaacha wakauliwa na hao wazulu.
Viumbe wa Tanzania aliorudi na walioko SA ni wajinga wajinga. Cheki tu hata wakiongea unaona kabisa wameathirika kichwaniBinafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa
Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao
Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni
Kubeza muonekano, kuwaona vibaka, kuwanyima makazi, fursa n.k katika Taifa lao ni jambo la unyanyapaa na kuwaumiza
Unyanyapaa umeanzishwa na serikali, haikuwa busara kumrudisha mtu aliyetoka nchini zaidi ya miaka 20 na ukamtelekeza airport ambaye hana hata nauli ya daladala,hujui ataanzia wapi, hana mtaji, hana makazi, hana ramani yoyote hiyo ni hekima kweli?
Jamii ya Watanganyika hii tabia na vitendo hekima
Hawa wakiwa nje mnaomba pesa na wanatuma
Wengine wanatuma pesa muwajengee nyumba na biashara mnawadhurumu wakifika mnazima simu na kuanzia kuwazodoa na kuwadhalilisha.
Jivike uhusika kama wewe ndo ungetokea Ughaibuni halafu ufanyiwe upumbavu kama huo
Hv unaelewa ulichoandika, nani awape malazi. Mbn hujaenda kuwachukua airportBinafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa