Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Tusipo shukulu kwa kidogo hata kikubwa hatutashukulu dealing with uneducated guy is a big problem do you know how much wasafi invested to harmo ?
 
Ana uwezo wa kulipa deni la Mil 500 afu unatuaminisha ana maisha mabaya?!!
 
Kwani mikataba ya kazi alisaini mwenyewe au hakusaini? Umeshaona mikataba yake? Hivi kweli unaamini huwa habakiwi na kitu? Kama ingelikuwa kweli huwa hapati kitu sasa hivyo vitu alipata vipi na hao mabodigadi ana walipa vipi kama si matunda ya WCB?
Afu kuna mtu atakuja kutuaminisha huyo jamaa amefikiri kwa kutumia kichwa...
 
H
Huyo ni muandika upupu tu ili mradi awe na comments nyingi .
Hajaandika upupu,amecompare madai yenu kuwa boss Ruge alikuwa anawanyonya wasanii na yanayofanywa na wasafi yanatofauti gani?. Bora boss Ruge,ila wasafi wamezidi...500m plus gharama za nyimbo zake zote!!!!!! Plus return ambayo alikuwa ameshawaingizia,Hapo wamekomba chote walichowekeza plus faida zaidi, hakuna msaada.
 
Use.nge mtupu huu.chukua mfano wa mchezaji mkubwa wa timu kubwa.ananunuliwa kwa milioni 20 kutoka timu ndogo,then anapewa mkataba wa⅝ years kwenye hiyo timu ilomnunua,timu inampika akapikika,anakua mchezaji tishio baada ya kupikwa miaka3,mwaka unaofuata timu nyingine inamtamani wakati yy bado hajamaliza mkataba wake wa miaka5 pale alipopikwa akaiva,kuuvunja mkataba wake pale inabidi timu inayomtaka imnunue kwenye tim yake anayochezea kwa milioni hadi200 wakati wao walimnunua kwa milioni20 tu miaka mitatu ilopita,hapo wanafidia gharama zao walizotumia hadi kumfikisha hapo alipofika,kumuuza kwa bei ghali kunafidia pale walipotumia nguvu na uwezo wao kumpandisha na kutengeneza faida pia,hicho ndicho kilichotokea kwa hamo,nampongeza kwa kujitambua na kutaka kujisimamia,ila pia nitamsikitikia km atakua Amechukuliwa na mtu ili akasimamiwe na mtu tena kwa mara nyingine maana yy mwenyewe anauwezo wa kujisimamia na kuwalipa yy ma meneja wanaomsaidia,sio tena akasainishwe mkataba na matajiri wengine halaf wao matajir ndo wamlipe hamo ..hakyanani km ndo ivyo hatoweza kupata mafanikio makubwa.ila akiajiri yy mwenyewe mameneja na akawalipa (nadhani km ckosei ndivyo ilivyo)basi atafanikiwa,..All n' all wote hawa ni wakwetu,tuwatenge na kuwaponda na kuwatafutia mabaya ili waanguke,bali tuwasapoti kwa nguvu ili waendelee kutamba na kuleta heshima ya Tz nje ya mipaka
 
Umeongea pointi kali sana,watakaokuelewa wana akili sana
 
Unaona mbali sana mkuu
 
Nimesoma huu uzi mpaka comment ya 30 lakini wote wanaochangia hawajui Kuandika; imebidi niishe hapo kusoma. Kiki nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Qboy alimzungumzia mkuu,alisema yule jamaa ajui kuimba na nyimbo anaandikiwa na lavalava,na wakiendaga ulaya jamaa anataka kuzamia.alimwambia wewe tuliahapa tuwetunaleta nguo za wasafi tuuze yeye akasema anataka kuimba,salam nayeye akadakia ujue sisi ni wafanya biashara na jamaa anatumia brand ya wasafi kwenye nyimbo zake tukawatunashangaa huyu jamaa vipi atuja msainisha kama msanii wa wcb mbona.

Hii kumzungumzia mtu inategemea kwenye media anaulizwa maswali gani?

Kwenye interview akienda hawamuilizi hayo maswali ila hao wengine ndio wanakuwa wakwanza kuulizwa wanajibu.na sio kwamba anakataa kuwazungumzia.
 
Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji, lakini wanachofanya wao bora hata clouds.
Acha kuongea vitu visivyokuwepo wewe! Over the past 5 years, unaanzaje anzaje kumnyonya Diamond hadi akulalamikie?! Clouds aliwatuhumu kumnyonya au aliwatuhumu kumbania huku wao wakitaka vitu vya bwerere kama walivyokitaka kumchukua Harmonize akapige "charity" show!!

Halafu nyie watu bhana!!! Harmonize ambae miaka 4 tu iliyopita ungeweza kumtuma hata akufulie nguo akakubali lakini leo hii anaweza kumtuma graduate mzima ndo mnasema ananyonywa!!!! Harmonize ambae chini ya miaka 5 iliyopita alikuwa muuza chai lakini leo hii anauota ubunge ndo mnasema amenyonywa? Harmonize ambae miaka michache tu iliyopita hakuwa na sehemu ya maana ya kuishi lakini leo hii anauza nyumba mbili ndie mnasema amenyonywa!

Najua wengine mtasema ni kipaje ndicho kimemfikisha pale lakini ukweli ni ukwamba, huko mtaani kuna watu wana vipaji nyoko lakini hawana hata uhakika wa kesho! Ukifahamu hilo ndipo utakapogundua kwamba kwenye tasnia ya burudani kipaji kinachukua nafasi ya pili kwenye kufanikiwa lakini walio nyuma yako ndo kila kitu!!
 
Mashabiki wengi wa wcb wanafikiri ukiea msanii unatakiwa uwe na jina kubwa wengi hawaangalii maslahi ya msanii yakoje na unapowaambia ukweli utashambuliwa vibaya mno ila ukweli ni kwamba wanaofaidi kule ni Diamond na wale managers kidogo kinachobaki ndio wanapewa hao madogo wengine na ni ngumu kutoka huko kutokana na masharti magumu ambayo yanalinda reputation ya kampuni, kama ni kuzuri kihivyo mwarabu fighter asingeondoka kwani yeye hapendi pesa, Rich mavoko asingeondoka kama kuna maslahi na Harmonize nae asingeondoka tatizo mashabiki hatuangalii yule mtu pale ana pata nin akiondoka tunamtupia maneno mabaya trust me Jux anapata pesa kuliko hata wakina Rayvanny hata harmonize kipindi yupo ila kwa jina amezidiwa na hao kina Rayvanny.
 
Ijumaa SAA mbili...

Biaa..
Ndo maana ya kuvunja mkataba unashangaa nini mpaka mtu kajenga nyumba tatu halafu watu mnasema kanyonywa kivipi sasa?
kilichomtoa ni tamaa tu hakukuwa na sababu yoyote ya kutoka wcb
 
Mbona hujaonesha hiyo mikataba?
 
Zilonga mbali zitendwa mbali.....Kwa jinsi walivyokimbia kina Mwarabu Fighter , Rich na Harmonize kweli WCB sio kabisa.
 

Mkuu samahani sana kama ntakukosea ila naomba urudi shule kujifunza kanuni za uandishi na matumizi ya herufi kubwa na ndogo, kiukweli bandiko lako au mawazo yako sijayasoma yanaweza kuwa mazuri ila huandishi ni mbovu sana hauvutii yani nizaidi ya uchafu.

Hakuna space, vituo, mtiririko wa mawazo narudia jitathimini afu jipige kifuani mara tatu sema mimi ni mjinga sijaitendea haki pesa ya mzazi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…