Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Watanzania ifike kipindi tujitambue!nani ananyonywa?kwa sabb ili uingie wsf lazima usome mikataba sina uhakika sana unapo soma sijui unakua umelewa au mzima.homonize watu walimukataa domo akamtengeneza akawa hamonize akavuna pesa za kutosha akajenga majumba akawa maarufu africa nzima kwa sasa hamo hata angeuza kila kitu,bado anafaida kubwa ya jina ambalo limetengenezwa na wsf l.t.d sasa shida nini watanzania tunafeli wapi?unadhani nu rahisi kiasi gani kumutengeneza mtu awe mkubwa ivi mnajua gharama ilizo tumia wsf kumutengeneza m.500 bado ni ndogo sana....
 
Watu hawajui kua wsf iliwekeza pesa nyingi kumutengeneza hamo ni udogo wa fikira.
Clouds hakuwahi wasainisha wasanii mikataba na kuivunja ulipe 500mil
WCB walichofanya ni kuchukua gharama zao. Na waliweka hela nyingi ili mtu asitoke kirahisi
 
Domo anajua kila kitu kipo kisheria na yy sio msemaji yupo vizuri sana.
 
Ni nani kati yetu hapa ambae leo hii WCB wakikufata wakakuambia tunakufanya uwe level za Harmonize ila ukivunja mkataba utalipa 500m. Nani atakataa..?? Nakuambia watu watavunjana miguu kukimbilia hiyo ofa
 
Mabeberu huwa wanatumia udhaifu kunyonya watu, pia WCB wanatumia umasikini na elimu ndogo kuwanyonya wasanii wake. Ni kama tu tulivofanyiwa na wakoloni au kama mabeberubkila siku wanavotusainisha mikataba ya kutunyonya richmond etc, bandari ya bagamoyo
 
Wacha fikra za kijamajaa. Biashara ni mikataba, wewe Kama unataka tafuta mwanasheria wako wakati wa kuweka mikataba
 
Wacha fikra za kijamajaa. Biashara ni mikataba, wewe Kama unataka tafuta mwanasheria wako wakati wa kuweka mikataba
Usifanye kuwa na mkataba ndo uhalali wa kumnyonya mtu, unaweza kuandika mkataba wa kinyonyaji let say umeajiri house girl ukamuandikisha mkataba wa kumlipa mia 5 kila mwezi ila msosi unampa, there is a contract but not fair one
 
Kama unyonyaji ni huo basi Kila mtu ni mnyonyaji mpaka kwenye familia
 
Labda mkuu ungetupa mfano wa taasisi/kampuni/mtu/serikali duniani ambayo kile inachopata inakigawa sawa kwa sawa kwa wafanyakazi wote. Na bado hata ukifanya hivyo kuna watu watalalamika kwamba wanafanya kazi kuliko wenzao hivyo wataona wananyonywa. Ili mkataba usiwe wa kinyonyaji unatakiwa uwe vipi?
 
Clouds hakuwahi wasainisha wasanii mikataba na kuivunja ulipe 500mil
WCB walichofanya ni kuchukua gharama zao. Na waliweka hela nyingi ili mtu asitoke kirahisi
Hizo ni zidi ya gharama kumbuka pia walipata faida kupitia nyimbo na show za msanii huyo huyo
 
Nimeona somewhere Diamond ni kama ana party anacheza wimbo wa Harmonize, nikakumbuka hii post, nikajisemea moyoni ,, kijamaa kipo kuzitafuna zile 500m za Harmo"
 
duh! sawa Sarah harmonize tumekuelewa.
 
Diamond huyu ni mmoja kati ya wasanii ambao clouds walitumia nguvu nyingi sana kumpromote na kumeweka kwenye ramani na jamaa alifanya vizuri baadae wakazinguana jamaa akaendelea na maisha yake mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…