hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 677
Watanzania ifike kipindi tujitambue!nani ananyonywa?kwa sabb ili uingie wsf lazima usome mikataba sina uhakika sana unapo soma sijui unakua umelewa au mzima.homonize watu walimukataa domo akamtengeneza akawa hamonize akavuna pesa za kutosha akajenga majumba akawa maarufu africa nzima kwa sasa hamo hata angeuza kila kitu,bado anafaida kubwa ya jina ambalo limetengenezwa na wsf l.t.d sasa shida nini watanzania tunafeli wapi?unadhani nu rahisi kiasi gani kumutengeneza mtu awe mkubwa ivi mnajua gharama ilizo tumia wsf kumutengeneza m.500 bado ni ndogo sana....