hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,442
Hii kitu mbona ilikujaga kwa kasi sana enzi hizo nikiwa primary bado kinda kisha ndani ya muda mfupi ikapotea na tukaambiwa imepigwa marufuku. Tena kweli hata yule msambazaji kontena lake lilibebwa na chupa zake mpaka leo ukienda nyuma ya halmashauri unalikuta limeingia kutu na chupa zake vilevile. Tangu kipindi hicho sijawahi kuiona wala kusikia tena hii pombe ndo leo
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app